Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Hakuna dini ya kinafki na walalamishi kama waislamu.
Kila kukicha wanamadai mapya. Wanajikuta wao ni special sana. Hata wakiwa kumi tu ktk mia watataka hao tisini wawafuate wao kwa lazima.
Hii husababisha hata wakikaa wao kwa wao lazima wadundane.

NB: Majini pia yanachangia
 
Ningekuona unaakili laiti ungesema waislamu wote jinsi zote kiume na kike hawapaswi kwenda Jeshini sababu Jeshi haifuati taratibu zenu za kiislamu.. hapo ningekuona unaakili..

Jeshi lina misingi na taratibu zake Hapa Tanzania halikulazimishi kwenda

Mbona mnakuwa vuguvugu kwanini msiwe baridi au moto ikafahamika..

Rais mwenyewe wa Tanzania ni mwanamke na ni Amri jeshi Mkuu ..katika Uislamu wenu hilo linakubalika?
Kwanini huko misikitini msimuambie au mkataza kama mnaona haifati muongozo wenu..


Ukiona Jeshi la hapa Tanzania halifati misingi yako ya kiiimani Usiende usimpelekee kijana wako huyo wa kike au wewe mwenyewe hutaona jeshi likikufata au kubembeleza.


Kila sehemu kuna taratibu zake.
 
Kuna vitu haviwezekani mkuu, unataka mtoto akimbie mabio na hijab? Hell no! unasema kuna watu wanataka kulisha macho yao, ukienda baada ya wiki mbili hao mabinti hawatofautishiwi na wanaume hizo sura zao
Mbona hao wahindi hapo wana mavilemba viongozi wa dini waingilie hili
 
Wawe na taifa lao tu au wahamie ulikotoa hizo picha.
 
Kwani udamaduni wa mtanzania ni upi kiongozi.
Maana usijekuta hata utamaduni wetu hatuujui.
Hijab ni utamaduni wa kabila gani?
 
Hatutaki watoto wa imani ya kikristo wavae hijab, hatutaki watoto wa imani ya kipagani wavae hijab.

Tunataka watoto wa kiislam wapewe haki hii iliyo ndani ya katiba.

Kwanini iwe kikwazo ndugu zetu. Munaumia nini.

Serikali yetu ilijipambanua inafata imani ya kipagani. Lkn ikasema haitowalaximisha wananchi wafate imani ya kipagani bali italinda imani zote. Ndio maana tunaikumbusha jkt wafate katiba.

Kua haya ni majini.. sikushangai uko contaminated na mafundisho ya kiongozi wako wa dini baada ya kukosa hoja ya kutetea imani yetu ambayo kimsingi suala la family inayotokana ma misingi ya ndoa haipo kwa sasa.

Kwa hiyo kulinda mtoto wa kike si miongoni mwa majukumu yeny
 
Nchi na taasisi zake zinaendeshwa kwa mujibu wa katiba.

Nimeelewa kula kitu kwa mifano kutoma nchi nyingine ambazo zina serikali zisizo na dini.

Najua sababu ya mihemko yako ni kwa kuwa jambo hili ni geni kwako.

Jeshi lipo kwa mujibu wa katiba inayoruhusu uhuru wa kuabudu.

Kuvaa nguo za stara ni ibada kwa mabinti wa kiislam. Ni kuabudu. Marekani kwenye waislam wachache waruhusu. UK, sa, malawi nk.

Usinichoshe, nisikuchishe nishaekeza huko nyuma.

Pitia hivi link

https://assets.publishing.service.gov.uk/media/5a789754e5274a277e68dead/guide_religion_belief.pdf

DCAF – Geneva Centre for Security Sector Governance
Home | DCAF – Geneva Centre for Security Sector Governance › N09_Freedom_Religion
PDF


Minnesota’s first hijab wearing police woman: how cool is she? - MVSLIM


Police Scotland uniform to include Muslim hijab


Malawi Defence Force allows Muslim soldiers to wear hijab Malawi 24 | Latest News from Malawi



View: https://youtu.be/zddiPwicaH0?si=oDVehMbqsHZVbpLm


View: https://youtu.be/RDx2zl5li5k?si=TwW5LxcLzKEYHPPA


View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=3xNDM8I5KvSnTWs1


View: https://youtu.be/vwFzn5TucuQ?si=BmHGBiZ5p2LkMIy7
 
Kwani udamaduni wa mtanzania ni upi kiongozi.
Maana usijekuta hata utamaduni wetu hatuujui.
Hijab ni utamaduni wa kabila gani?
Shee hijab ni utamaduni wa jamii ya zaidi ya 30% ya watz walipa kodi wa nchi hii.

Lkn mada hapa ni kufata katiba.

Katiba inatoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Wakati waislam walipotaka watoto wao wa kike kuvaa hijab ilikuwa hivi hivi. Ninyi wenzetu mnakosa uvumilivu wa kuheshimu values za wengine.

Mbona waislam tunawavumilia.

Tufate katina, utawala bora na haki za binadamu
 


Tunazungumzia katiba. Hatutaki tz iendeshwe kiislam. Ingawa Uislamu hauzuii mwanamke kuwa kiongozi. Bali inazuia kuwa imamu msikitini kuwaswalisha wanaume.

Anyway mada ni kufata katiba, sheria, utawala bora sio mababu, na uhuru wa kuabudu.

Jeshi la Marekani taifa lenye idadi ndogo ya waislam wameridhia kwanini tz yenye idadi kubwa ya waislam wanadhibitiea na kubaguliwa. Hii nchi si yetu?

Usinichoshe. Pitia hizi link ujifunze

https://assets.publishing.service.gov.uk/media/5a789754e5274a277e68dead/guide_religion_belief.pdf

DCAF – Geneva Centre for Security Sector Governance
Home | DCAF – Geneva Centre for Security Sector Governance › N09_Freedom_Religion
PDF


Minnesota’s first hijab wearing police woman: how cool is she? - MVSLIM


Police Scotland uniform to include Muslim hijab


Malawi Defence Force allows Muslim soldiers to wear hijab Malawi 24 | Latest News from Malawi



View: https://youtu.be/zddiPwicaH0?si=oDVehMbqsHZVbpLm



View: https://youtu.be/RDx2zl5li5k?si=TwW5LxcLzKEYHPPA



View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=3xNDM8I5KvSnTWs1



View: https://youtu.be/vwFzn5TucuQ?si=BmHGBiZ5p2LkMIy7
 
Ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati

Wawe na taifa lao tu au wahamie ulikotoa hizo picha.
Acheni mihemko tufate katiba.

Si watz wanapigania katiba mpya? Itakuwa na maana gn kama haitofatwa kama hii iliopo.

Mada uhuru wa kuabudu ndani ya katiba ni kwa ajili ya wanafunzi tu au taasisi zote ikiwemo jkt, jwtz, jeshi la polisi, magereza nk
 
Nani kakwambia mimi ni Mkristo?
Na huoni aibu kusema dini yako haina uvumilivu? Mko sawa ninyi?
 
Hebu taja hata jamii tatu tu za Tanzania ambazo hijabu ni utamaduni wake.
Tatu tu.
 
Mkuu picha ulizoweka ni wanajeshi kamili hujaweka wakiwa mazoezini kama akina mdee,bulaya na wenzao hapo. Uzi wa mleta mada unahusu mafunzoni hauwahusu wanajeshi kamili.

Halafu kumbe US kwa mabeberu wanajeshi wa kiislamu wanakula bata basi haina haja ya kuwasingizia kuwa wanauchukia uislam wakati mpo huru sana kule
 
Sasa mbona mtoa mada anasema Bukta hizo ni kinyume na utamaduni wetu.
Sijamuelewa.
Ok. Ni hivi tz ina idadi kubwa ya watu ambao ni waislam na wakristo. Ni zaidi ya asilimia 75%

nikuulize bukta inaruhusiwa kwa msichana kwenda nayo kanisani. Sikuulizi msikitini.

Ktk mataifa yenye watu wanaielewa haki za binadamu, utawala bora na kufata demokrasia, ktk mataifa hayo wengi hufunga sheria. Kama ilivyo ktk kupiga kura. Wenye wingi wa kura ndio hutunga sheria. Unlikely to tz kuna finyu mkubwa wa watu wake.

Kwa ufupi bukta kwa wasichana si utamaduni wa watz walio wengi. Wakristo na Waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…