Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Shukran sana mkuu kwa kulielewa hili na imenimaliza.

Ukweli usiotakwa kusemwa kuwa kuna hisia wanajeshi wanafanya watoto wa kike kuwa ni wake zao.

Na kisaikolojia kuwavisha watoto wa kike bukta na kuwachanganya na watoto wa kiume na kuwafanyisha mazoezi magumu kunawaondokea watoto wa kike aibu na kuwaweka tayari kufanywa lolote ili mradi asiolewe mateso zaidi.

Huko mbeleni tutahitaji kama zilivyo shule za bweni za wasichana au wavulana. Na kambi hizi pia ziwe ktk mfumo huu. Hii nchi ni ya kwetu sote. Na hini ni kosa kubwa limefanywa na waumini wa dini zote kuwaachia walevi watufanyie maamuzi kwa niaba yetu.
 
Ndio. Hii ni hatua ya kwanza ya kufanya awareness kwa jamii.

hatua ya pili ni kuwashirikisha viongozi wa dini au kwenda kukipeleka shauri hili mahakamani ili mahakama itoe tafsiri ya serikali kutokuwa na duni.

Inapaswa kuwalinda wenye dini au kuwadhibiti, kuwabagua na kufanyika haki ya kubudu.
 
Kwa hiyo unamaanisha jeshi letu liendeshwe kama bar. Na unamaanisha watoto wa kike wanaokwenda jeshini wafanye kama wanawake wa bar kuwa ni jambo la kawaida jeshini. Nawe unaridhia binti yako akafanyie mambo ya bar.

Ndugu yangu. Jeshi ni mihimili wa serikali na unapaswa kuendesha kwa kufata sheria mama (katiba). Iwapo taarisisi yyt ikiwemo jeshi imetumia sheria yanayokinzana na katiba. Sheria hiyo inakuwa batili dhidi ya katiba.
 
Ukristo na uislam siyo utamaduni wa Tanzania,nimekuuliza kuhusu utamaduni wa Tanzania,bukta ni kinyume na utamaduni wa kabila lipi la Tanzania?
Tufate ushauri wa mama. Ni muda wa kujadili 4R.

Tufanye Maridhiano kama nchi. Nadhani wewe ni under 20.

Hatutoelewa.

Katiba na haki ya uhuru wa kuabudu ndio mada kuu.
 
Kwa hiyo unamaanisha jeshi letu liendeshwe kama bar. Na unamaanisha watoto wa kike wanaokwenda jeshini wafanye kama wanawake wa bar kuwa ni jambo la kawaida jeshini. Nawe unaridhia binti yako akafanyie mambo ya bar.
Ni wapi nimesema hivyo maalim?
Umri wako kwanza tafadhali, maana isijekuwa nabishana na katoto
 
Wamefata nini huko? Majini si ndugu zenu? Wapelekeni huko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acheni mambo hayo maisha yatakuwa rahisi. Kumbuka mwarabu nae ana tamaduni zake.
 
Shekhe,
Ayatollah Khomeini, kiongozi wa nchi ambayo ni jamhuri ya kidini ameshindwa hayo mambo ya kulazimisha uvaaji wa hijab kwa kugomewa na wafuasi wa dini yake hiyo, wewe utaweza?!
 
Jeshi is tough; pili TZ hakuna lazima kujiunga jeshi km Israel; hata izo JKT cjui after form 6 hata km ukichaguliwa unaweza kuzikwepa tu. Sasa mtu unataka kujiunga jeshi unataka wawe trained km anaenda kucheza mwimbo wa Shilole?😀 Be serious bwana. Kwanza TZ hamna anayelazimishwa dini kisheria au kikatiba na hao mabinti baada ya form 6 wana akili yao timamu ya kuamua hata kama wanataka kuvaa izo hijab ambazo hawakuwahi kuchagua anyway coz it was imposed on them na wazazi wao; hivyo km hawataki wasijiunge. Simple tu.
 
Mbona shule za kiislam nazo lazima wanawake ambao sio waislam wavae ushungi? Na wanavaa kwasababu wameamua kusoma hapo.
 
Mbona shule za kiislam nazo lazima wanawake ambao sio waislam wavae ushungi? Na wanavaa kwasababu wameamua kusoma hapo.
Wewe ni mtoto hatutoelewana. Kwa uko nje ya mada.

Kwa ufupi unapaswa kupunguza utawala wa sheria, haki za binadamu, utawala bora na uhuru wa kuabudu kwa taasisi na mihimili ya serikali
 
Yes. Ndio maana nimesema kuna umuhimu wa wazazi kuwapima mabinti zao kabla ya kuwaruhusu kwenda kuharibiwa na maafande mabazazi na mavuta bange yanayowaka tamaa za kufanya ngono zembe na mabinti za watu ili wawaambukize UKIMWI na maradhi mengine ya hatari kama vile homa ya ini na gono.

Hivi ni kwanini mama Samia akiwa mwanamke anawaacha watoto wa kike waende kuharibiwa huko JKT? Ni kwa sababu yeye watoto wake hawaendi JKT au kuna sababu nyingine?

Ndugu wanaharakati na watetezi wa haki za mtoto wa kike tunaomba mtoke mafichoni mje hadharani kutetea watoto wa kike wanaoharibiwa kwenye makambi haramu ya JKT kwa kisingizio cha uzalendo.

Mungu atawahukumu kwa kukaa kwenu kimya. Mna maana gani hasa kukalia kimya janga hili? Au mmehongwa na serikali kuwaacha mabinti wa wakulima waharibiwe? Amkeni jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…