Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Maalim inaonekana huelewi jeshi ni nini na linaendeshwaje. Kule imani yako, dini yako , misimamo yako inawekwa pembeni unapambania kitu kimoja tu, nacho ni tanzania.
Fundamentaly jeshi limetengezwa kwenye nguzo za umoja, na todauti za ww ni nani au dini gani zinawekwa pembeni.
Mle nyie ni team si individuals, ukiwa individuals hufai kua askari

Kama unaona mwanao anapata shida simply usimpleke, otherwise jeshi
 
Katiba ya nchi gani na ibara ngapi? Usikute umekariri mambo ya kiarabu
 
Sasa Mkuu Mohamed Abubakar , ulitaka wakaruke vichura na "Baibui" Mkuu?
 
Kwa hiyo wavae kama waarabu wajifunike hadi macho tusiwaone alafu wawe kwenye mafunzo? Aina hilo la jeshi labda uende huko kwenye mabomu Iran, Iraq, Somalia zenye kufata mfumo huo.
 
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume. Nazungumzia viBUKTA kwa lazima.

Nguo zenyewe Waafrika wameletewa na Waarabu na Wareno...

Kwenye mavazi utamaduni wa Mwafrika ni kama ule unaouona kwa Wahadzabe, Bushmen au Walesotho...
 
Hujapenda kabisa na unahasira juu ya hoja za bwana mtoa hoja.🤣🤣🤣
 
Kuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
Kitu kikubwa walindwe kutoka Kwa wabakaji wakiwa huko kambini
 
Waache wanajeshi wawe wanajeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…