Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwahiyo wakapige tizi na baibui sio.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukristo na uislam siyo utamaduni wa Tanzania,nimekuuliza kuhusu utamaduni wa Tanzania,bukta ni kinyume na utamaduni wa kabila lipi la Tanzania?Ok. Ni hivi tz ina idadi kubwa ya watu ambao ni waislam na wakristo. Ni zaidi ya asilimia 75%
nikuulize bukta inaruhusiwa kwa msichana kwenda nayo kanisani. Sikuulizi msikitini.
Ktk mataifa yenye watu wanaielewa haki za binadamu, utawala bora na kufata demokrasia, ktk mataifa hayo wengi hufunga sheria. Kama ilivyo ktk kupiga kura. Wenye wingi wa kura ndio hutunga sheria. Unlikely to tz kuna finyu mkubwa wa watu wake.
Kwa ufupi bukta kwa wasichana si utamaduni wa watz walio wengi. Wakristo na Waislamu
Shekhe Mohamed Abubakar,Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba
Ndugu Mohamed hii mada ni nzuri lakini kwa hapa JF ni kama haina uzito, kwani katika kipindi hiki tunachopita nacho nadhani badala ya uzuri wa mada hii itakuwa ni dhihaka na kebehi. Ninacho kiona michango mingi itakuwa si ya hoja bali ni mihemko ya kidini, hivyo basi ingekuwa tungeomba taasisi za dini husika zikae na vyombo vya ulinzi na usalama na viangalie jinsi gani ya kuendesha program zao kwa kuzingatia imani, utamaduni na mila za wananchi wake. Tunaposema serikali haina dini bali wananchi ndiyo wenye dini kauli tata iliyoficha na kunyima haki za wenye dini.Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.
Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.
Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.
Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.
Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.
Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?
Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.
Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.
Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.
Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.
Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.
Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.
Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.
Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.
Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?
Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?
Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?
Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.
Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.
Kwani Ujamaa ni imani.
imani ya Ujamaa ni upagani.
Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.
Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.
Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.
Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.
Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka
GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.
Unaweza kugoogle hii title na tuelimike
Sio lazima waende jeshi,Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Kusema kweli mimi nilikuwa sijawahi kufahamu kwamba wanafunzi wa kike wanavalishwa bukta huko JKT hadi nilipoona hizi picha kwenye uzi wako mtoa mada.Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Leta hicho kifungu kinachokataza mabinti wa Kiislam kuvaa kaputula.Acheni mihemko tufate katiba.
Si watz wanapigania katiba mpya? Itakuwa na maana gn kama haitofatwa kama hii iliopo.
Mada uhuru wa kuabudu ndani ya katiba ni kwa ajili ya wanafunzi tu au taasisi zote ikiwemo jkt, jwtz, jeshi la polisi, magereza nk
Tupunguze upuuzi kwa kufata katiba.
Jeshi lipo chini ya katiba.
uhuru wa kuabudu.
Shida yenu hamuwezi kuvumilia values za makundi mengine yanayounda tz.
jiulize kwanini serikali inakuwa na imani. Ina umuhimu gn. Na je ilijitenfezea imani yake ili kuidhibiti imani za baadhi ya watz. Hapana.
Si lengo kuu.
Sawa ujamaa ni imani.Hata hivyo huwezi kupata majibu sahihi hadi uwe na ufahamu wa falsafa ya uongozi.
#ujamaa ni imani
Wahamishie Afghanistan hutojutiaWiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.
Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.
Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.
Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.
Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.
Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?
Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.
Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.
Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.
Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.
Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.
Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.
Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.
Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.
Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?
Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?
Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?
Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.
Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.
Kwani Ujamaa ni imani.
imani ya Ujamaa ni upagani.
Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.
Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.
Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.
Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.
Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka
GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.
Unaweza kugoogle hii title na tuelimike
Huyu mtu atakuwa na uzoefu wa mafunzo ya kigaidi pekee. Jeshi atalijulia wapi?Umewahi kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi?
ndugu pole kwa kuumia naWiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Rubbish 🗑🚮🗑🚮🗑🚮Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Kwahiyo wavae magauni au? Mpaka unaona watu walipendekeza hayo mavazi siyo jambo la kuminya Imani au uhuru wa mtu.
Acha vijana wakaone maisha ya ulimwengu wa kijani.