Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakawaida ...sema kwa story za mtaani naskia wana akili sana wayahudi wengi wao ni ma geneus, ukipata mbegu ya huko ni balaa
hapa umenenaMabinti wa Putin pia ni warembo.
Kuna mtu mzuri lakini havutiiinishambulieni lakini sijaona mzuri hapo...
Eastern Europe mkuu yote ina wanawake wenye mvuto saana.Mabinti wa Putin pia ni warembo.
Wayahudi wa asili wakoje?Hakuna Myahudi wa Asili wenye Blonde hair na blue eyes ww umeleta picha za wazungu wanaojiita Wayahudi
Kweli mabinti wa magu mpo vizuri saana, ila mmezidi utapeli😛😛😛😛😛 tusifieni na mabinti wa ktz basi,hta mie mzuri
Sawa-sawa Mkuu!Hakuna Myahudi wa Asili wenye Blonde hair na blue eyes ww umeleta picha za wazungu wanaojiita Wayahudi
Nakukatalia waisrael hawafanni na waarabu ata kidogoWaisrael na Waarabu wanafanana na wana vinasaba sawa.Wote Wakatili.
Hahahahahaha tutake radhi mkuu , ulijuaje kama cc matapeli kama na ww sio tapeli???Kweli mabinti wa magu mpo vizuri saana, ila mmezidi utapeli