Mabinti wa kileo

mabinti wa siku hizi hao hawawezi kusimama wao kama wao hadi wawe na references

Sio kweli,tatizo wanaume mnaona wanawake wanawapiga gap siku iz kuanzia kipesa,kielimu.kicheo kazin na kila ki2,so dats y fitina nyingi...wanawake wanaweze bila reference ya yoyote yule.
 
Wanaume siku iz wasione mwanamke ameendelea mara ooh kahongwa,cjui kafanyaje...achachen na vichwa vya wanawake siku izi vipo kimaendeleo zaid..iyo yako smart mind ni story tu ambazo yoyote anaeza tunga.
 

Kweli kabisa, haya mambo yameshamiri kotekote, si wakaka si wadada japokuwa wapo wenye tabia nzuri!!
 
mabinti wa siku hizi hao hawawezi kusimama wao kama wao hadi wawe na references

Nadhani unawasema hao wanaume wenzio ambao kila siku wanaweka matangazo kutafuta mashuga mami wa kuwalea!
 

hii post nimeipenda sana mkuu,umewapa ukweli mwana. Nami nawasindikiza na wimbo wa Samba mapangala kutoka kenya uliotamba miaka ileeee ya 90,
Chorous
Wape wape eeeh vidonge vyaooo,wakimezaa! wakitemaa ni shauri yao.*2
 

vp mkuu mbn unakua mkali! kuna mdada flani hiv urefu size y kati, maji y kunde chuchu six oclock kw nyuma ana mavi balaa yupo humu jamvin anaitwa feis buku!
 
je umewahi kujiuliza wavulana wa kileo wana wasichana wangapi? mabadiliko ya kijamii hayachagui jinsia, unavyoona wasichana wamebadilika ujue na wavulana wamebadika pia go bak n do ur research again
 
Yote hayo hawana HOFU na MUNGU! village flavours nyingi! ila UKIMWI unawaona waache tu wamtanie Mungu.
 

Tena mbaya zaidi wanaanza na umri mdogo sana. ukimuona utaona huruma ukidhani anaonewa au anaumia kumbe wapi.
 
wanatumia rasilimali zilizopo, si km madin useme zitaisha, alietumia na asietumia mwisho wa siku mnaenda sawa
 
mi sioni shida kwa wakaka, kwani hata wahenga walisema
fahari wawili hawakai zizi moja, wakimaanisha kuwa
majike wanaweza kaa wakiwa under fahari moja. we cheki hata
wanyama kama simba... au hata kuku hapo kwa jirani yako then
utakubali.

we mkaleee!
 
Ndio maissha haya na watu wanaona sawa tu
 
Ndo mda wao wacha wautumie vizuri,si unajua wakati ukuta ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…