Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,042
- 776
hata wewe ni wa zamani? hivi zamani yako inaanzia lini?Sie wa zamani washamba, wenzetu wanaenda na wakati mwaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wewe ni wa zamani? hivi zamani yako inaanzia lini?Sie wa zamani washamba, wenzetu wanaenda na wakati mwaya.
mabinti wa siku hizi hao hawawezi kusimama wao kama wao hadi wawe na references
Uzuri katika kila hatua huyo partner anakuwa ana shughuli maalum e.g kumpa madesa,kumuongezea maksi,kumuweka mjini,kumpenda e.t.c
at least huwa kuna sababu
Je vijana wa kiume? ana mademu watatu wote ni classmates,kitaa wapo wawili, home kwao (kule ushagho) wapo wawili, mama mwenye nyumba bado,plus na mtoto wa tajiri fulani sasa anajitahidi amuoe
mmmmhh wote balaa,hakuna cha mabinti wala wakaka.
mabinti wa siku hizi hao hawawezi kusimama wao kama wao hadi wawe na references
Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa madesa na kumsaidia assignments, ana mvulana handsome boy anayempenda wa kutoka naye out huyu ni showcase, ana buzi baba mtu mzima wa kumnunulia mavazi na vitu vya gharama na ana mwalimu wa kumpa maksi darasani. Akitoka hapo akienda ofisini yule handsome boy anakuwa mume, kisha anatembea na bosi wa kumpandisha vyeo, anatembea na kijana mwingine ofisini hapo kwa kuwa anampenda, hii nini jamani?
uyu vip? hii page ni kwa ajili ya wanajf, sasa fb watakujaje hapa? au unafikiri mmu
ni jambo la kufikirika na la kitoto? basi ungefungua jukwaa la siasa nk ndo
hutapata story hizi.umekuja kusoma nini katika jukwaa la maisha , mahusiano na
urafiki? shake well before use.
Many girls in TZ now days copy wazungus how they dress, some wear wigs and swing their heads to remove fake hair getting into their eyes like wazungu, some wear white make up and they looks like ghosts, wake up sisters ask for mafuta ya nazi, or why not be natural? Saop drammer za western zinawachengua sana mabinti wa kibongo wanapata free training ya matusi eg f**n idiot, lazy bastard etc. Stop too much imitation, be yourself girls.
mi sioni shida kwa wakaka, kwani hata wahenga walisema
fahari wawili hawakai zizi moja, wakimaanisha kuwa
majike wanaweza kaa wakiwa under fahari moja. we cheki hata
wanyama kama simba... au hata kuku hapo kwa jirani yako then
utakubali.