Mabinti wa kinyiramba

heb mtafute mbunge wa neo hlo umuulize atakupa majb mazur.
 
Kiomboi kisiriri. huko utakuwa unakula kuku mpaka ukimbie.mmoja wa wasifu ni kuwa wamekeketwa.
 
Jitahidi uwe mzuri kwenye sita kwa sita la sivyo, viserengeti kama vitatu hivi vitakusaidia kazi. Mabinti wa kinyiramba wanajua kupenda haswa endapo unajua mambo yetu. kama mvivu kwenye sita kwa sita hesabu maumivu.
 
Hivi bado mnaulizia mambo ya makabila? Kwa sasa hamna cha kabila ni kuangalia tabia ya mtu binafsi make kwa sasa makabila yamechanganyikana na mtu ana adopt tabia kutokana na sehem alizokulia au anapoishi na huyo yawezekana ni mnyiramba ila hajakulia huko iramba au kiomboi so we mchunguze tabia zake ukiona yuko poa waweza kujichukulia mzigo
 
Duh mkuu, me ndo natoka hukohuko Kiomboi. Cha msingi mzee jaribu kupeleleza kidogo family background yao halafu muombe na Mungu jibu litakuja. Nimejaribu kumentiontion back ground kwa kuwa kidogo wenyeji wengi wa hapo mambo ya ushirikina hayako nyuma sana kwao, usije ukaingia chaka.
 

Mbii tinintiumpanga mbwanee. Ukikala pe mbwane oe
 
Mi naona hamna haja ya kusifu kabila kwani binti ni yeyote yule ilimrad muendane naye kitabia na aheshimu kila kizur unachokihitaji
 
sigienet, kwanza naomba ku declare interest, mimi sio Mnyiramba, ila Mzee wangu (rip) alioa, mama wa Kinyiramba na ameacha nyumba mbili pale Old Kiomboi ziko katika majina ya mama!.
Wanyiramba kwanza
1. ni warembo,
2. ni wazuri,
3. si wavivu kunako
4. wana roho mzuri
5. wanyenyekevu

Ila pia
6. Ni wajanja
7. Hawana hiyana kutoa misaada kwa wengine (utasaidiwa) ila ni wapangaji wazuri wa ratiba zenu zisiingiliane!
8. True Love sio issue kubwa sana kwao.
9. Ni wataalam wazuri wa tamaduni za kiasili za kiafrika (ndumba)
10. Pia ni Gold diggers!
 
Hawana roho mbaya waombwapo walivyopewa bure wana huruma sana na hilo si wachoyo kabisaaa! Hawahitaji kuuza huduma za kijamii wao hutoa huduma bure.
 

Mkuu! You have said it all! I salute you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…