Mabinti wa kinyiramba

Mabinti wa kinyiramba

hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!

Teh teh teh teh teh!! Mi naenda na moja kichwani kama kujumlisha/kutoa.
 
hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!

We Baba Erik, acha tabia ya kula ma house girl. Harafu Kuna Wanyiramba na wanyaturu wote ni wasingida hivyo kuwa makini.
 
hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!

BABA ERIC ! Unajua unaanzisha uzi ndani ya uzi ? Na sikuachii hapa mpaka utoe jibu "uzi creater" atuvumilie hili jambo serious! Wewe umedai ma'beki3 wako wote hua unawauliza wamekeketwa au laa, unapowauliza hizo habari hua unakua mpo na mkeo au ? Na kwa jibu lolote utakalonipa haya, ukishajibiwa majibu yao unayatumia kwa faida gani ?
Vingenevyo ungesema umeshawalamba wote ndiyo ukalifahamu hilo nisingekua na maswali kwako. Usikimbilie majukwaa mengine jibu kwanza.
 
idara yangu ya kazi ni kuchunguza makabila yapi wanaendeleza mila hizo.
 
Basi utatusaidia sana, sasa kuna makabila mengine wao ni visse-vessa instead kukeketa wao wana adjust hicho kikeketwacho kinakua kikubwa more than normal hawa mnawashauri nini wazidi kukuza au?
 
hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!
Duh!We jamaa ni mkare,inaelekea hao beki 3 wote ushawakamua.
 
Angalia kwa umakini isije ikawa ndiyo .......................
 
Basi utatusaidia sana, sasa kuna makabila mengine wao ni visse-vessa instead kukeketa wao wana adjust hicho kikeketwacho kinakua kikubwa more than normal hawa mnawashauri nini wazidi kukuza au?

tunawashauri waache kabisa kwani wanakeketa kwa njia nyingi mpaka wengine wanatoboa kama wataweka kufuli wengine wanakichana kinabaki kuninginia nje. INASIKITISHA SANA. Yaani ni huzuni
 
hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!

Itakuwa unachananya na kabila la wanyaturu. Wanyiramba hakuna kitu hicho mkuu
 
jitahidi uwe mzuri kwenye sita kwa sita la sivyo, viserengeti kama vitatu hivi vitakusaidia kazi. Mabinti wa kinyiramba wanajua kupenda haswa endapo unajua mambo yetu. Kama mvivu kwenye sita kwa sita hesabu maumivu.

mambo hayo!
 
duh mkuu, me ndo natoka hukohuko kiomboi. Cha msingi mzee jaribu kupeleleza kidogo family background yao halafu muombe na mungu jibu litakuja. Nimejaribu kumentiontion back ground kwa kuwa kidogo wenyeji wengi wa hapo mambo ya ushirikina hayako nyuma sana kwao, usije ukaingia chaka.

mengine hayo
 
sigienet, kwanza naomba ku declare interest, mimi sio mnyiramba, ila mzee wangu (rip) alioa, mama wa kinyiramba na ameacha nyumba mbili pale old kiomboi ziko katika majina ya mama!.
Wanyiramba kwanza
1. Ni warembo,
2. Ni wazuri,
3. Si wavivu kunako
4. Wana roho mzuri
5. Wanyenyekevu

ila pia
6. Ni wajanja
7. Hawana hiyana kutoa misaada kwa wengine (utasaidiwa) ila ni wapangaji wazuri wa ratiba zenu zisiingiliane!
8. True love sio issue kubwa sana kwao.
9. Ni wataalam wazuri wa tamaduni za kiasili za kiafrika (ndumba)
10. Pia ni gold diggers!

kweli hapo akili kwa kichwa
 
Duh mkuu, me ndo natoka hukohuko Kiomboi. Cha msingi mzee jaribu kupeleleza kidogo family background yao halafu muombe na Mungu jibu litakuja. Nimejaribu kumentiontion back ground kwa kuwa kidogo wenyeji wengi wa hapo mambo ya ushirikina hayako nyuma sana kwao, usije ukaingia chaka.

"thank you tininti for your advice"
 
sigienet, kwanza naomba ku declare interest, mimi sio Mnyiramba, ila Mzee wangu (rip) alioa, mama wa Kinyiramba na ameacha nyumba mbili pale Old Kiomboi ziko katika majina ya mama!.
Wanyiramba kwanza
1. ni warembo,
2. ni wazuri,
3. si wavivu kunako
4. wana roho mzuri
5. wanyenyekevu

Ila pia
6. Ni wajanja
7. Hawana hiyana kutoa misaada kwa wengine (utasaidiwa) ila ni wapangaji wazuri wa ratiba zenu zisiingiliane!
8. True Love sio issue kubwa sana kwao.
9. Ni wataalam wazuri wa tamaduni za kiasili za kiafrika (ndumba)
10. Pia ni Gold diggers!

Thank you very much!!!!!!!!!!!! Hujawa na bias, nimepata mengi ambayo sikuyafahamu, na kiukweli mengine uliyoyataja nayaona dhahiri. please kama unadhani kuna jingine la kuongeza, ukifanya hivyo nitakushukuru sana.
 
MKUU NAKUAMINIA KWELI UNA PhD KWENYE HILI?
 
Thank you very much!!!!!!!!!!!! Hujawa na bias, nimepata mengi ambayo sikuyafahamu, na kiukweli mengine uliyoyataja nayaona dhahiri. please kama unadhani kuna jingine la kuongeza, ukifanya hivyo nitakushukuru sana.

sigienet, hizo nyumba mbili hapo Kiomboi Mzee alizomjengea mama dogo wa Kinyiramba, zote mbili ni gest houses, hivyo you can imagine ma uzoefu!.

Baada ya kusikia hayo, hayo mengine fanya utambuzi mwenyewe na ufikie maamuzi, kama umejikuta unaishi Kiomboi kikazi, Wanawake wa Kinyiramba ndio the best option yako kwa hapo vinginevyo utadondokea mikononi mwa wanawake wa Kinyaturu!.
 
Back
Top Bottom