Mabinti wa kinyiramba

Mabinti wa kinyiramba

Mim hata awe kabila gani kama anajua kuvunja goti hapo sawa, yaani napendaga hiyo!
 
Upo uwezekano huiamini akili yako, hujui kutii matakwa ya mwili wako, nakushauri utafiti mabinti wa kabila gani ambao ndoa zao zinadumu, usiogope kulogwa, usiogope kusaidiwa matunzo ikiwa wewe si hondohondo, usihofu kutunza familia ya mkeo mtarajiwa bila kujali atoka kabila gani kwani hivyo ni vionjo vya kujenga heshima na utii kwa mkeo, nijuavyo mabinti wa kinyiramba wanapendeza na wanapendeka. hatimaye wewe ndio wa kujilaumu ama kujipongeza kwa uamuzi wowote utakaouchukua.
 
hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!

Mkuu hapo naweza kusema umeropoka. Kwa taarifa yako hakuna mniramba anayekeketwa na hakuna mila hiyo kwao. Mila ya ukeketaji ipo kwa wanyaturu.....
 
Mi nadhani ni muhimu kujua tamaduni za mtu ambaye utaishi naye katika maisha yako yote.. mdau yupo sahihi kuuliza hili swali .

Hii ni kweli maana kuna siku utakaa na jamii yake . Nashangaa sana mtu akiulizia tabia za kabila fulani baadhi wanakuwa wakali pasipo sababu. Huwezi kumlinganisha mwanamke/mwanaume wa kihaya na wa kimeru n.k lazima tofauti iwepo kutokana na mazingira tusiwe wabishi tuu kulalamikia ooh ukabila
 
Fanya uchunguzi wa kina!

Jiridhishe kuwa umefahamu kiasi kikubwa ni aina ganiya mtu unmkabidhi maisha yako..............na hii ni kwa mwanamke yeyote!
 
Mkuu hapo naweza kusema umeropoka. Kwa taarifa yako hakuna mniramba anayekeketwa na hakuna mila hiyo kwao. Mila ya ukeketaji ipo kwa wanyaturu.....

SAWA NIMEROPOKA. ALIYELETA HII THREAD atatuambia mwenyewe kama mpenzi wake ana ki@yahoo. Hebu mwulizeni?! Mi sitaki ugomvi Mwulizeni sasa?
 
Kwa ujumla Mwanamke Wa KINYIRAMBA,MHAYA,MRANGI,MZARAMO,MSAMBAA hawafai lazima mke ALIWE NJE!
 
SAWA NIMEROPOKA. ALIYELETA HII THREAD atatuambia mwenyewe kama mpenzi wake ana ki@yahoo. Hebu mwulizeni?! Mi sitaki ugomvi Mwulizeni sasa?

Acha uongo wewe, Wanyiramba hawakeketwi, unaeleweshwa unazidi kusisitiza uongo tu, ktk mkoa wa Singida wanaokeketwa ni Wanyaturu tena wale wa vijijini, Wanyiramba hawakeketwi. Kwa aliyeomba ushauri, kikubwa mtangulize Mungu usitegemee sana mawazo ya watu hapa jamvini wengi hawasemi ukweli sana sana watakupotosha tu
 
mchunguze sana kuna kitu fulani utagundua hakimbanduki, too late!!!!
 
Back
Top Bottom