Unaoa kabila au mtu?
hadi sasa wanakeketwa. Nina ushahidi huo yaani beki tatu wetu wote waliwahi kukaa hapa wemekeketwa hata huyu mpya wa mwezi wa kumi na moja! Msishangae huwa nawauliza!
Mi nadhani ni muhimu kujua tamaduni za mtu ambaye utaishi naye katika maisha yako yote.. mdau yupo sahihi kuuliza hili swali .
Utata uko hapo kwenye red. Isije ikawa Mkuu umewapitia maana huwezi kuuliza maswali personalized kama ya kukeketwa hivihivi tu! Kuwa mkweli Mkuu!
wanakiburi na pia jiandae kutunza ukoo
Mkuu hapo naweza kusema umeropoka. Kwa taarifa yako hakuna mniramba anayekeketwa na hakuna mila hiyo kwao. Mila ya ukeketaji ipo kwa wanyaturu.....
Mbii tinintiumpanga mbwanee. Ukikala pe mbwane oe
SAWA NIMEROPOKA. ALIYELETA HII THREAD atatuambia mwenyewe kama mpenzi wake ana ki@yahoo. Hebu mwulizeni?! Mi sitaki ugomvi Mwulizeni sasa?
SAWA NIMEROPOKA. ALIYELETA HII THREAD atatuambia mwenyewe kama mpenzi wake ana ki@yahoo. Hebu mwulizeni?! Mi sitaki ugomvi Mwulizeni sasa?