[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nikiukomaza... Hawa wanaosema uongo uongo nitawashikaje mashavu yao malaini...?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una mkono laini sana, jitahidi uukomaze eti
πππππππππUna mkono laini sana, jitahidi uukomaze eti
We nakumbuka ulinambia unachukua masters ya Procurement pale IFM wakati hata hawana hizo habari....Hahahaha
Aiseee... hongera sana. Pole piaAlikuja akanambia nipambane na hali yangu vitu kaniachia.
Nilichofanya ni kutafuta mteja wa chumba bila kumwambia father house (mwenye nyumba alikuwa Nairobi kimasomo, anaekuwapo nyumbani ni mama yake ambae ni bibi wa makamo, pamoja na dada zake wakubwa).
So nikarudisha kodi nakumbuka ilikuwa imebakia ya miezi kumi na moja..... Nikachukua na vitu vile vyote nikaweka kwangu isipokuwa dressing table ambayo niliuza kwa mdada chumba xha jirani. Hela yote ilirudi na faida nikapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe......nakujaWe nakumbuka ulinambia unachukua masters ya Procurement pale IFM wakati hata hawana hizo habari....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi id ndio zinazungumziwa kwenye huu uziKuna watu mnakuaga na muda mchafu wa kuandika jamani, yaan kabisa umelala kwenye kigodoro chako cha futi 2 na kuanza kuandika upupu,
Niandae ftari mie nisijewapandisha watu Muhaho.
Ukomaze ndipo utakutana na wanawake wenye haiba za kike huo ulaini laini ndo unafanya ukutane na hao vibaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nikiukomaza... Hawa wanaosema uongo uongo nitawashikaje mashavu yao malaini...?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kama wengi wao haya maisha ya chuo na kukaa hostel kumewashape kisaikolojia kuamini uongo ndio ngao yao ya kupata wanachotaka na kumrubuni mwanaume aweze kuwalegezea kamba.Hapa ndo unakuta mtoto wa mtu analalamika hakuna waoaji. Hizi tabia za kuigiza zinagharimu sana watu. Achana na hawa watu aisee hizo u ajiokitea ni nuksi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha MUNGU wangu kumbe ndivyo ulivyo....Nina project yangu naisikilizia nitoe buku ten, basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata kudanganya sijui maskini wee
Najuta kumuonyesha huu mkono.... Ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manake unaonekana una hela zisizo na matumizi,π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha MUNGU wangu kumbe ndivyo ulivyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kabinti ka mzee m'moja alikuwa HR pale kwenye mgodi wa Barrick (hiyo nilikuja kujua baadae sana siku baba yake alipokuja chuoni kumtembelea akaomba namba ya CR, ambae nilikuwa mimi ili nimpe taarifa za mwanae).Aiseee... hongera sana. Pole pia
Ila alikua anafanya biashara gani yeye kama yeye ya kuzunguka kote huko? Siwezi kukulaumu pia maana akili haikua imepevuka. Ila mru mambo yale yakiwa hayaeleweki inatakiwa ukae makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia wewe......nakuja
Hivi unajua kama nina mzigo kutoka china ninausubiria...?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia wewe......nakuja
Unaweza kuta kameshamwambia mtu kuwa kanamiliki mradi mkubwa sana wa nyuki na kanapeleka asali huko UK ila kanahitaji laki moja tu mzigo ukifika hela inaingia atampa mkopaji laki tatu..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi id ndio zinazungumziwa kwenye huu uzi
Haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe hint za kukomaza mkono niwashe moto sasa hivi....Ukomaze ndipo utakutana na wanawake wenye haiba za kike huo ulaini laini ndo unafanya ukutane na hao vibaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela natoa wapi tena ndugu..... Na hali ilivyongumu hii si unaona ninavyolalamika hapa....Manake unaonekana una hela zisizo na matumizi,[emoji23]
Uwe unasoma basi japo kidogo....Kwa magazeti ngie pipoz salute kwenye[emoji2960]
Baada ya kusoma comment yake ilibidi nijiangalie mikono yangu kwanza maana hatupishani π πNajuta kumuonyesha huu mkono.... Ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππKagonge kokotoHaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe hint za kukomaza mkono niwashe moto sasa hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app