Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Alikuja akanambia nipambane na hali yangu vitu kaniachia.

Nilichofanya ni kutafuta mteja wa chumba bila kumwambia father house (mwenye nyumba alikuwa Nairobi kimasomo, anaekuwapo nyumbani ni mama yake ambae ni bibi wa makamo, pamoja na dada zake wakubwa).

So nikarudisha kodi nakumbuka ilikuwa imebakia ya miezi kumi na moja..... Nikachukua na vitu vile vyote nikaweka kwangu isipokuwa dressing table ambayo niliuza kwa mdada chumba xha jirani. Hela yote ilirudi na faida nikapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee... hongera sana. Pole pia

Ila alikua anafanya biashara gani yeye kama yeye ya kuzunguka kote huko? Siwezi kukulaumu pia maana akili haikua imepevuka. Ila mru mambo yale yakiwa hayaeleweki inatakiwa ukae makini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa nikiukomaza... Hawa wanaosema uongo uongo nitawashikaje mashavu yao malaini...?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukomaze ndipo utakutana na wanawake wenye haiba za kike huo ulaini laini ndo unafanya ukutane na hao vibaka
 
Hapa ndo unakuta mtoto wa mtu analalamika hakuna waoaji. Hizi tabia za kuigiza zinagharimu sana watu. Achana na hawa watu aisee hizo u ajiokitea ni nuksi tu
Tatizo ni kama wengi wao haya maisha ya chuo na kukaa hostel kumewashape kisaikolojia kuamini uongo ndio ngao yao ya kupata wanachotaka na kumrubuni mwanaume aweze kuwalegezea kamba.

But majority wanaendekeza uongo bila sababu. Mtu anaamua tu kudanganya.... Kwasababu kajisikia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina project yangu naisikilizia nitoe buku ten, basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata kudanganya sijui maskini wee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha MUNGU wangu kumbe ndivyo ulivyo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee... hongera sana. Pole pia

Ila alikua anafanya biashara gani yeye kama yeye ya kuzunguka kote huko? Siwezi kukulaumu pia maana akili haikua imepevuka. Ila mru mambo yale yakiwa hayaeleweki inatakiwa ukae makini
Ni kabinti ka mzee m'moja alikuwa HR pale kwenye mgodi wa Barrick (hiyo nilikuja kujua baadae sana siku baba yake alipokuja chuoni kumtembelea akaomba namba ya CR, ambae nilikuwa mimi ili nimpe taarifa za mwanae).

Kuhusu shughuli hakuwa na shughuli yoyote, anategemea pesa kutoka kwa baba yake. Alinambia mengi sana siku alipokuja chuo tukaonana. Ingawa nilimpa moyo kuwa binti yake anakichwa chepesi sababu anaperform vizuri hata kuwashinda wale wanaohudhuria shule everyday.

Mzee wake alikuwa anampatia hadi 1 milioni matumizi tu ya nusu semester ila kabinti kataichakaza hiyo ndani ya wiki imeisha. Tulizungumza mengi sana na mzee wake ikiwemo namna ya kumsaidia binti yake atulie amalize chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi id ndio zinazungumziwa kwenye huu uzi
Unaweza kuta kameshamwambia mtu kuwa kanamiliki mradi mkubwa sana wa nyuki na kanapeleka asali huko UK ila kanahitaji laki moja tu mzigo ukifika hela inaingia atampa mkopaji laki tatu..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom