Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Hii awamu wakati yupo mzee baba mambo mengi yalibadilika ghafla
Nilikuaga na rafiki zangu wawili bwana wanasoma Alpha na miye nikiwa shule ingine hapo mapinga kuna kaukaribu ka wamiliki wa mashule hayo. Yaan hawa ilikua mtu anaomba gatepas anaenda tui mjini ama duka la samsung ananunia zake iphone ama samsung ama laptop anarudi zake shule. Likizo hizo bataa. [emoji119][emoji119] mimi nilikua naaminiwa na sipendi kilevi napewa wallet. Ilifikaga time nikawa nammind huyu mmoja aisee... yaan wanaweza kuja friends wengine laki 5 ikaisha. Hapo toka advance.. nilikua nammind. Yaan anawanunulia vya kutosha. Si unajua wa kishua kuosheana? Yaan yale maisha wameenda nayo mpk miaka hii ya huyu mzee alipopokea kijiti. Jaman huyu mmoja unaweza lia. Chuo alishindwa tena kiendelea akaridi tz. Mama yake mambo yakaenda mrama. Jaman kuna time ananiomba hata buku[emoji26] mwingine angalau amepevukaga. Huyu anajifunza in a hard way ambaye alizingua chuo na zioe bata. Maisha haya jamani[emoji119][emoji119]
 
aisee ashawah mtu chukua chuma akasema anaenda kibaha akaenda tabora akapiga nayo mbanga mbaya sana alafu gari nilijibana kweli harrier tako la nyani nikauza nikanunua kialteza siji kusahau maisha yangu yote na urafiki tuliuua
Unaiweka mfumo tu.... Akifika tu kibaha unaset ijizime..... Adabu atakuwa nayo.
 
Jaribuni kuwaepuka mademu wanaovaa hivi viatu,hakika mtakuja kunikumbukaView attachment 1756873
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wazee wa hatujala...... Aisee nilikuwa sijui mabinti wanafukia kuliko sisi wanaume.... Dah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna sampuli inakata fanta Coca-Cola big ya lita mbili mwenyewe... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna rafiki yangu aliambiwa mwakaa huu tuu kalima mpungu hekari za kutosha nikamwambia Jamaa kijana utasubiri huo mpunga mpka ukatakuwa Wali hutouona maishani mwako watoto wako watazeeka hawatauona huo mpungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubabake...
 
Kuna rafiki yangu aliambiwa mwakaa huu tuu kalima mpungu hekari za kutosha nikamwambia Jamaa kijana utasubiri huo mpunga mpka ukatakuwa Wali hutouona maishani mwako watoto wako watazeeka hawatauona huo mpungu
Mtu analima mpunga ila cha ajabu kila siku tupo wote mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuaga na rafiki zangu wawili bwana wanasoma Alpha na miye nikiwa shule ingine hapo mapinga kuna kaukaribu ka wamiliki wa mashule hayo. Yaan hawa ilikua mtu anaomba gatepas anaenda tui mjini ama duka la samsung ananunia zake iphone ama samsung ama laptop anarudi zake shule. Likizo hizo bataa. [emoji119][emoji119] mimi nilikua naaminiwa na sipendi kilevi napewa wallet. Ilifikaga time nikawa nammind huyu mmoja aisee... yaan wanaweza kuja friends wengine laki 5 ikaisha. Hapo toka advance.. nilikua nammind. Yaan anawanunulia vya kutosha. Si unajua wa kishua kuosheana? Yaan yale maisha wameenda nayo mpk miaka hii ya huyu mzee alipopokea kijiti. Jaman huyu mmoja unaweza lia. Chuo alishindwa tena kiendelea akaridi tz. Mama yake mambo yakaenda mrama. Jaman kuna time ananiomba hata buku[emoji26] mwingine angalau amepevukaga. Huyu anajifunza in a hard way ambaye alizingua chuo na zioe bata. Maisha haya jamani[emoji119][emoji119]
Maisha yanataka discipline sana. Ukiyaletea mzaha nayo yanakujaribu....
 
Back
Top Bottom