Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo gari inakuwa gari kweli uliyonunua kwa jasho na kujinyima au inakuwa gari ya urithi.

Maana kwa kawaida mtu akitaka kuazima kitu chako lazima umuulize akupe details, ili hata yakitokea mengineyo uwe na pa kuanzia.
Nazungumzia gari niliyonunua mwenyewe kwa pesa yangu, gari ni kitu cha kawaida mnoo. Sizungumzii roho.
 
Nazungumzia gari niliyonunua mwenyewe kwa pesa yangu, gari ni kitu cha kawaida mnoo. Sizungumzii roho.
Mkuu unaweza kuniuzuia gari yako iliyochakaa kuitumia kwa bei nafuu.
 
Nadhani watakua wamelifanyia kazi lile swala la fake till you make it[emoji23].
Anyways, lying is very costfull.
Sisters onyesha tu uhalisia wako atayekupenda atakaa na wew asiyeridhia ataenda.
 
2017 au 2018 nilikutana na kamoja kwenye Viunga vya jiji la Makonda enzi hizo nikaauliza most of your time unakua wapi kakasema kanasoma Nursing UDSM nikaambia na Mimi ninasoma Medical Doctor chuo cha DUCE, cha ajabu kakafurahia sana hilo.
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…