Mabinti wa leo


We hivi hujui kusoma katikati ya mistari?
 

Binti mzuri, rudi kwa babu akupe hadisi za weekend, achana na mabomu ya gongo la mboto
 

he does not worth your time darling,just calm down,be happy and enjoy our presence with you Dena,mi love you!
 
Unashabikia uj****** na wewe mtu mzima tena Babu ninayekuheshimu huyu jamaa kanipandisha hasira ile mbaya

Binti shuka shuuuuuuuuuuuuuuuuka, unapaa kwenda wapi???
 


Nudaque Veritas maxime dolendum est
 
:doh::doh::doh::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
 

huo msaada nadhani ni muafaka zaidi kwa wahanga wa gomz. But thx anyway
 




umegeneralize mno mkuu, hata waungwana wanaodadisi watu wapo! kwa hali ya kawaida kuna individual differenceshata kwenye mambo haya, kila mtu ana mtazamo wake, ila tu nikuhakikishie kuna mabinti wazuri tu bado wapo wanaoweza kudadisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…