Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Huu mwandiko kama naujua vile!
Unashabikia uj****** na wewe mtu mzima tena Babu ninayekuheshimu huyu jamaa kanipandisha hasira ile mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwandiko kama naujua vile!
Shame on you first.
Unakwenda Guest kwa $300??? Hata aibu huna labda hizo Guest za kwenu huko Malampaka ndo huwa unakwenda.
Wenzio siku hizi tunakwenda Hotel za maana sio viguest vyako hata AC hakuna. Mwone kwanza peleka wa***** wako huko kwenye kunguni na usituunganishe wote.
Usinipandishe hasira mie saa hizi
Watu wengine bana eti $300??? Njoo kwangu nikuonyeshe pochi yangu ina $ ngapi halafu uache up******** wako
Shame on you first.
Unakwenda Guest kwa $300??? Hata aibu huna labda hizo Guest za kwenu huko Malampaka ndo huwa unakwenda.
Wenzio siku hizi tunakwenda Hotel za maana sio viguest vyako hata AC hakuna. Mwone kwanza peleka wa***** wako huko kwenye kunguni na usituunganishe wote.
Usinipandishe hasira mie saa hizi
Watu wengine bana eti $300??? Njoo kwangu nikuonyeshe pochi yangu ina $ ngapi halafu uache up******** wako
Shame on you first.
Unakwenda Guest kwa $300??? Hata aibu huna labda hizo Guest za kwenu huko Malampaka ndo huwa unakwenda.
Wenzio siku hizi tunakwenda Hotel za maana sio viguest vyako hata AC hakuna. Mwone kwanza peleka wa***** wako huko kwenye kunguni na usituunganishe wote.
Usinipandishe hasira mie saa hizi
Watu wengine bana eti $300??? Njoo kwangu nikuonyeshe pochi yangu ina $ ngapi halafu uache up******** wako
Unashabikia uj****** na wewe mtu mzima tena Babu ninayekuheshimu huyu jamaa kanipandisha hasira ile mbaya
We hivi hujui kusoma katikati ya mistari?
So what do we do, jioni nikupeleke hospitali kwa ajili ya check upnina maumivu tangu nimejifungua hali haijarudi vizuri!
Binti mzuri, rudi kwa babu akupe hadisi za weekend, achana na mabomu ya gongo la mboto
Shame on you first.
Unakwenda Guest kwa $300??? Hata aibu huna labda hizo Guest za kwenu huko Malampaka ndo huwa unakwenda.
Wenzio siku hizi tunakwenda Hotel za maana sio viguest vyako hata AC hakuna. Mwone kwanza peleka wa***** wako huko kwenye kunguni na usituunganishe wote.
Usinipandishe hasira mie saa hizi
Watu wengine bana eti $300??? Njoo kwangu nikuonyeshe pochi yangu ina $ ngapi halafu uache up******** wako
:doh::doh::doh::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Shame on you first.
Unakwenda Guest kwa $300??? Hata aibu huna labda hizo Guest za kwenu huko Malampaka ndo huwa unakwenda.
Wenzio siku hizi tunakwenda Hotel za maana sio viguest vyako hata AC hakuna. Mwone kwanza peleka wa***** wako huko kwenye kunguni na usituunganishe wote.
Usinipandishe hasira mie saa hizi
Watu wengine bana eti $300??? Njoo kwangu nikuonyeshe pochi yangu ina $ ngapi halafu uache up******** wako
Kwa kuwa umesema wewe nakutii.
Fair way nimepamiss ile mbaya rm 106
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine[/QU
umegeneralize mno mkuu, hata waungwana wanaodadisi watu wapo! kwa hali ya kawaida kuna individual differenceshata kwenye mambo haya, kila mtu ana mtazamo wake, ila tu nikuhakikishie kuna mabinti wazuri tu bado wapo wanaoweza kudadisi
RF karibu nyumbani kwangu, kuna house boy atakuwa anakupikia, kukufulia na ukitaka kutoka na washikaji zako nitakupa pesa, chochote unachotaka utapewa kama huna gari nitakupa ya kwangu moja utembelee, kama huna nguo nzuri nitakupa hela ukafanye shopping, kama huna blackberry nitakununulia Bold!!
Sawa RF, ili uone tofauti kati ya hao mabinti uliokutana nao na sisi wengine.
Binti shuka shuuuuuuuuuuuuuuuuka, unapaa kwenda wapi???
Aiseee!!! Hiki kilatini mimi sisemi kituNudaque Veritas maxime dolendum est
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine
Nimekusikia ila hii thread leo nisipokula BAN sijui
Shoka lisilo mpini halichanji kuniKumbe unajua eeeh!? Hivi kweli unakubali shetani akamate kichwa chako mpaka unamwaga maneno hayo??
he does not worth your time darling,just calm down,be happy and enjoy our presence with you Dena,mi love you!
Nudaque Veritas maxime dolendum est