Mabinti wa leo

Mabinti wa leo

LD unataka kuniambia haupendi VX wewe basi kama haupendi nitakuja na baiskeli yangu

Tena bora uje na nguo zilizochakaa kbisa yani. Halafu nakuja kukugundua baadae kwamba daaaah!! Mambo safi. Sio unaanza kutoa masimu yako makubwa makubwa na walert unaifungua fungua kuonesha una uwekundu, unasema eti hii gari siipendi nimeagiza nyingine hii nitaiuza au nitampa babu yangu.....shenzi halafu mnasema sie ndo tunapenda vijesenti vyenu mshindwe!!!
 
Hapa mnajadili nini? Kuna mtu kaniona mlima zunzu au cleaner? I have unfinished bussiness with them!
 
Kwa kuwa leo nina furaha sana,
Kwa kuwa leo ni wikiendi,
kwakuwa leo nna hela,
Kwakuwa leo nna kiu

Nawaageni wote kwa upendo mkuu,
Nawakaribisheni nyote kwa mapenzi makuu,

Mje tujumuike kunywa BIYA!

Michelle unanidai........!
 
majita eee hii mivuvuzela wanajifanya oooh haya, hawa hapa sasa

ndio utajiju,tafuta mtu unayeendana naye! kama wewe ni wa viwanja vya uswahilini huko tafuta wa huko huko,sio ww unaendaga viwanja vya uswahilini halafu leo unataka mtu anayeenda viwanja vikubwa kwa gharama ile ile ya viwanja unavyoshindia?!!!....utakiona cha mtema kuni!!!:spider:
 
Kwa kuwa leo nina furaha sana,
Kwa kuwa leo ni wikiendi,
kwakuwa leo nna hela,
Kwakuwa leo nna kiu

Nawaageni wote kwa upendo mkuu,
Nawakaribisheni nyote kwa mapenzi makuu,

Mje tujumuike kunywa BIYA!

Michelle unanidai........!

nakuja babu!!!
 
Kwa kuwa leo nina furaha sana,
Kwa kuwa leo ni wikiendi,
kwakuwa leo nna hela,
Kwakuwa leo nna kiu

Nawaageni wote kwa upendo mkuu,
Nawakaribisheni nyote kwa mapenzi makuu,

Mje tujumuike kunywa BIYA!

Michelle unanidai........!
Homu boyi nikupe number ya M pesa?
 
ndio ukome,siku nyengine tafuta mtu unayeendana nae,sio wewe mbahili afu unatafuta wadada wale wanaopenda kuspend-watoto wa mujini!ni gharama kuwatunza!....nenda katafute/kaoe kijijini huko wasio na gharama ndio wataendana na ubahili wako:mullet::A S 13:

Kabisa Rose anataka matawi wakati mkono wa birika??? Hatarudia huyu
 
ndio utajiju,tafuta mtu unayeendana naye! kama wewe ni wa viwanja vya uswahilini huko tafuta wa huko huko,sio ww unaendaga viwanja vya uswahilini halafu leo unataka mtu anayeenda viwanja vikubwa kwa gharama ile ile ya viwanja unavyoshindia?!!!....utakiona cha mtema kuni!!!:spider:

Roselyne,nakutakia wikiendi njema......naomba usiwe unachelewa mada kama hizi!!!
 
tena bora uje na nguo zilizochakaa kbisa yani. Halafu nakuja kukugundua baadae kwamba daaaah!! Mambo safi. Sio unaanza kutoa masimu yako makubwa makubwa na walert unaifungua fungua kuonesha una uwekundu, unasema eti hii gari siipendi nimeagiza nyingine hii nitaiuza au nitampa babu yangu.....shenzi halafu mnasema sie ndo tunapenda vijesenti vyenu mshindwe!!!
kwa hiyo hii huwa inasababishwa na baadhi ya wanaume kushoboka!!
 
Back
Top Bottom