Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Siyo vitu vyao hivyo mkuuWamewahi kutoa tamko kupinga Utekaji?
They never did?Wamewahi kutoa tamko kupinga Utekaji?
tangu lin MAANDAMANO YAKAWA VURUGU ? WATANZANIA KISHWAHILI KINATUFICHIA UJINGA WETU MWING SN , TUNGEKUWA TUNATUMIA ENGLISH DUNIA INGETUFANYA KUWA KICHEKESHO CHA DUNIANWakuu
Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji
===
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa Kitanzania kuheshimu, kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa hakuna Tanzania nyingine zaidi ya hii ya sasa na ni gharama kubwa kurejesha amani pale itakapopotea.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkoani Dodoma leo Alhamisi Disemba 04, 2025, amewataka Vijana kuamka na kutokubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache, akiwataka pia kuwakataa wale wote wanaohamasisha vitendo vya uvunjifu wa amani nchini.
"Tunapinga vikali maandamano yanayoendelea kuhamasishwa tarehe 09. Tarehe tisa ni siku ambayo Taifa letu lilipata uhuru, si siku ya vurugu au kuhamasisha machafuko katika Tanzania yetu. Tanzania tumezaliwa tukiikuta yenye amani na sisi kama Vijana ni wajibu wetu wa kwanza kuitunza amani yetu. Hatuna Tanzania nyingine na tukiiharibu, hatuna sehemu ya kukimbilia." Amesema Beatrice
Mbele ya waandishi wa habari, Beatrice pia amesisitiza kuwa amani iliyopo nchini ndiyo inayosababisha maendeleo na ustawi wa Mabinti, Vijana na Jamii nzima ya Tanzania pamoja na upatikanaji wa fursa mbalimbali za kiuchumi kwa Vijana na Watanzania kwa ujumla.
"Kipindi cha Rais Samia ametugusa mabinti kwa asilimia kubwa sana kuanzia kwenye Mikopo ya elimu ya Juu ikiwa ni msaada mkubwa kwa Mabinti tuliotokea familia duni, imetuepusha na vishawishi mbalimbali. Rais Samia pia amepanua wigo wa elimu kwa wale wanaopata ujauzito wakiwa shuleni na zaidi tumepewa Wizara ya Vijana itakayobeba maslahi ya sisi Vijana." Ameongeza kusema.
View attachment 3511252
Source Mwendokasi TV
Waambiwe machawa hawana tofauti na mipira ya watu wazimaWakuu

Watamsemea mama lakini teuzi watakula mbinti wa zenjiWakuu

Muda umeisha October 29- November 6 mpaka December 9 kuna interval kubwa sana hapo ya muda aliepewa muda hajaweza kuutumia..Kadri serikali haramu inapojitahidi kutuliza mambo ndipo inavyozidi kuharibu kabisa,anguko lake ni baya na la mauti ya kutisha
Nawasiwasi maandamano D9 hayatatokea,kutokana jinsi yalivyo organiziwaMuda umeisha October 29- November 6 mpaka December 9 kuna interval kubwa sana hapo ya muda aliepewa muda hajaweza kuutumia..
Backfire.. mbwa ukitaka kumuua mpe jina baya.. muda ushaishaNawasiwasi maandamano D9 hayatatokea,kutokana jinsi yalivyo organiziwa
HapanaWamewahi kutoa tamko kupinga Utekaji?
BICHWA KOMWE - njoo uwaone dada zako hukuWakuu
Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji
===
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa Kitanzania kuheshimu, kulinda na kuitunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa hakuna Tanzania nyingine zaidi ya hii ya sasa na ni gharama kubwa kurejesha amani pale itakapopotea.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkoani Dodoma leo Alhamisi Disemba 04, 2025, amewataka Vijana kuamka na kutokubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache, akiwataka pia kuwakataa wale wote wanaohamasisha vitendo vya uvunjifu wa amani nchini.
"Tunapinga vikali maandamano yanayoendelea kuhamasishwa tarehe 09. Tarehe tisa ni siku ambayo Taifa letu lilipata uhuru, si siku ya vurugu au kuhamasisha machafuko katika Tanzania yetu. Tanzania tumezaliwa tukiikuta yenye amani na sisi kama Vijana ni wajibu wetu wa kwanza kuitunza amani yetu. Hatuna Tanzania nyingine na tukiiharibu, hatuna sehemu ya kukimbilia." Amesema Beatrice
Mbele ya waandishi wa habari, Beatrice pia amesisitiza kuwa amani iliyopo nchini ndiyo inayosababisha maendeleo na ustawi wa Mabinti, Vijana na Jamii nzima ya Tanzania pamoja na upatikanaji wa fursa mbalimbali za kiuchumi kwa Vijana na Watanzania kwa ujumla.
"Kipindi cha Rais Samia ametugusa mabinti kwa asilimia kubwa sana kuanzia kwenye Mikopo ya elimu ya Juu ikiwa ni msaada mkubwa kwa Mabinti tuliotokea familia duni, imetuepusha na vishawishi mbalimbali. Rais Samia pia amepanua wigo wa elimu kwa wale wanaopata ujauzito wakiwa shuleni na zaidi tumepewa Wizara ya Vijana itakayobeba maslahi ya sisi Vijana." Ameongeza kusema.
View attachment 3511252
Source Mwendokasi TV
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Hii mi-mama mpaka sugu zimeota pale mahala kwa sababu ya friction halafu yanabwatuka hovyoHawa ni mabinti ama ni mashangazi makahaba??