Kwanza nyie sio wazalendo kwa sababu umesisitiza mara mbili, Mama tunamsemea lakini je ninyi mbona hamtusemehi wananchi tunavyotekwa? Maandamano sio lazima yawe ya vurugu polisi walinde watu waandamane kwa amani, wana maduku duku yao halali kabisa haki ya kuishi, katiba mpya, haki ya kuchagua kiongozi wanayemtaka, ufisadi kukomeshwa, rasilimali zilindwe mbona nchi zilizostaarabika yanafanyika kila siku maduka yanavunjwa na hakuna anayekufa? ila sheria iliyowekwa inachukua mkondo wake. Huo mkate unaouzungumzia rasilimali zikiibwa hutoweza kwenda kuutafuta.