Mabinti wahitimu wa vyuo Amkeni

Hapa ni kusubiri kuolewa tu. Wakiringa eti mpaka waajiriwe ndio waolewe umri hautawasubiri watazeekea nyumbani bila hata kuwa na mtoto mmoja
Mdada akiwa ana elimu halafu hana kazi atakuwa ana- interact na bodaboda tu, hivyo kuna possibility kubwa ya yeye kuolewa na bodboda.

Hapo bidada anakuwa amerudi nyuma hatua mia.
 
Wazazi wamekosa maono kabisa, ndo hawa wanafanya watoto watange tange na kuhaha uraiani pasipo 7bu ya msingi.

Ko wasio na ajira wote hawatembei? Au wasio olewa wote hawatoki nje?

Mxxxxxiiiiiieeeeew.
 
Kumbe ndoa inapatikana kirahisi hivyo
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Karibu njoo tule Fenesi.
 
Bodoboda ni kazi ya laana....by G. Lema.

Sasa msomi akiolewa na mtu mwenye kazi ya laana, si ni laana hiyo?
Mwanaume anaoa akiwa na uwezo wa kuhudumia mke, makazi ya kuweka familia na utimamu wa akili umri ukiruhusu.
Kazi haijatwaja ni ipi ila iwe ya halali, uwezo pia hujatajwa ni upi wengine wanaenda mbali wanasema ukiweza kujihudumia basi unakizi kuoa, makazi sio lazima kujenga yako popote wewe mwanaume hisi ni salama kuiweka familia, chizi haoi, umri unajulikana.
Tuje kwa boda boda sio kitu halali?
Boda hana utimamu wa akili?
Unapotosha umma kuweka standard zisikuwa na maana yeyote kwa hawa wasichana.
 
Mkuu uko smart sana upstairs, nafatilia comments zako nyuzi mbali mbali,... Hii comment yako nimeielewa sana, Ila atakuja kujitetea hapa kutokana na ego tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…