Mabinti wanavyowafukuza Wapendwa Watarajiwa

Mangi Moshi

Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
22
Reaction score
11
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku hiyo. Wakati tunafikia mwisho wa mazungumzo msichana akaniambia naomba unitumie vocha ya 10,000/=. Nikamwambia sawa, kimsingi sikumtumia, akaanza kubip, akabip kama mara 3 hivi, baada ya kama saa moja hivi akatuma sms kwamba bado anaisubiria hiyo vocha. Sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hivi hawa wasichana wanaotanguliza njaa hata kabla ya kufahamiana vizuri ni sahihi kweli? Je hiyo si kumfukuza mpendwa mtarajiwa? Hawaoni kwamba hiyo inaonyesha hali ya ngono ya biashara tangu mwanzo ambayo kwa mtu mstaarabu haitamvutia?Nawasilisha.
 
uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
 
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...
 
Usihofu mkuu, hicho ndio kipimo kinachotumiwa na wanawake siku hizi, usiogope go for her if you real feel her
 
ila kwel mana ukiwa clubs weng wao huwa wapo kibiashara zaid mana hawanaga la kufanya zaid ya kulata pesa mbele so uliingia choo cha kike mzaz
 
uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.
 
Kwa hayo niliyo-highlite napata picha kuwa hata wewe ulikosea kutafuta mtu decent kwa vigezo vya "msomi" na "kazi nzuri"... asilimia 90 ya vyangudoa hapa mjini hasa katika maeneo mengi yanayotembelewa na wastaarabu hutumia gia hizo za "usomi" na u-independent woman" wakijua kuwa utanasa kwake kirahisi na atakutumia au kuku-nyonya kiuchumi kwa njia rahisi sana...

na kwa taarifa yako huyo ulekutana naye sio mzoefu kabsaa wazoefu huwa hawapigi mizinga ya vocha tena nextday baada ya kukutana... wazoevu huwa wana-invest kwako kiasi kama tsh laki 1-3 then ukipigwa invoice unatoa gari au nyumba...

dogo mke wa ndoa hatafutwi club... huyo mpe hiyo alfu 10 mjengee mazingira muafaka mle kiboga kisha mtoe na kama 50 flan then mpotezee mbaya investment cost hapo hailipi.
 
Ila siku hizi mabinti ni balaa ni mizinga tu wanapiga,kuna tulikutana ktk mazingira ya kawaida tu alinibip na 50000,akaniambia kuna ishu anaifix then atairudisha nkausoma mchezo nkajua hapa ntaishia kupigwa mabusu na kukumbatiwa ,nkamwambi pesa ninayo ila niko very budgeted now days ,akasema its ok,nlipompigia baadaye either to solve in otherway round,akaniambia NIMKOME.i told her nilishamkoma ndo maana sikumpa !
 
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...

Jamani kahaba/malaya/mapepe/etc haijalishi yuko wapi. kuna watu wapo ofisini ni hoooovyooooo na wengine wapo makanisani ni hooovyooooooo balaa na viouni ndo usiseme. mke au mume anapatikana popote wanapokutana watu
 
Ila siku hizi mabinti ni balaa ni mizinga tu wanapiga,kuna tulikutana ktk mazingira ya kawaida tu alinibip na 50000,akaniambia kuna ishu anaifix then atairudisha nkausoma mchezo nkajua hapa ntaishia kupigwa mabusu na kukumbatiwa ,nkamwambi pesa ninayo ila niko very budgeted now days ,akasema its ok,nlipompigia baadaye either to solve in otherway round,akaniambia NIMKOME.i told her nilishamkoma ndo maana sikumpa !

ha ha ha umenichekesha, ulishakoma muda mrefu ye ndo anakuambia
 
Ndg yangu kama unatafuta mke wa kuoa hizo cv (kazi, elimu n.k) ziweke pembeni kabisa. Muhimu angalia tabia zake na kama kweli unampenda kutoka moyoni mwako. Maana bila hivi hutaweza kuishi naye hata kama ana hizo cv zake zinazokuvutia.
 
uliposema club ndo umeua mazima huyo sio dem ni changuuuuuuuuuuuu
Ina maana wanaoenda club ni machangu tu? Mi sometimes huwa naenda club na mpenzi wangu - ina maana naye ni changu? Ebu sahihisha msemo wako.
 
Jamani kahaba/malaya/mapepe/etc haijalishi yuko wapi. kuna watu wapo ofisini ni hoooovyooooo na wengine wapo makanisani ni hooovyooooooo balaa na viouni ndo usiseme. mke au mume anapatikana popote wanapokutana watu
Tuko pamoja
 
Ukianzisha mahusiano katika misingi ya kuchunwa utachunwa hadi kieleweke. Anzisha mahusiano mema, then mambo mengine hujitokeza mbele ya safari. Kwa upande wangu huwa sioneshi dalili zozote za kumtaka mtu, bali huwa namwangalia yeye ana mwelekeo gani, nikiona anataka nilichonacho nampotezea.
 
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku hiyo. Wakati tunafikia mwisho wa mazungumzo msichana akaniambia naomba unitumie vocha ya 10,000/=. Nikamwambia sawa, kimsingi sikumtumia, akaanza kubip, akabip kama mara 3 hivi, baada ya kama saa moja hivi akatuma sms kwamba bado anaisubiria hiyo vocha. Sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hivi hawa wasichana wanaotanguliza njaa hata kabla ya kufahamiana vizuri ni sahihi kweli? Je hiyo si kumfukuza mpendwa mtarajiwa? Hawaoni kwamba hiyo inaonyesha hali ya ngono ya biashara tangu mwanzo ambayo kwa mtu mstaarabu haitamvutia?Nawasilisha.

Hao ndio tunawaita malaya wa mchana. Anatanguliza INVOICE kabla ya K.....Achana naye!
 
Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.
Kama angekuwa anafanya kazi asingekuwa na njaa ya elfu 10,angekuja kuhitaji msaada wa kifedha lakini baada ya kuwa mmejuana kwa muda!! Conclusion: Huyo ni Malaya na ukiibuka tena hapo Club mara kadhaa utagongana naye tena tu!! Unaweza uka-date naye mchana na Usiku akaenda kuuza kama kawa,Be Careful!!!
 
Kimsingi club hawaendi machangu tu kama unavyosema. Kuna wasichana wengi ambao wapo single na wanapenda kwenda kupata burudani weekend kama sehemu ya mapunziko na ku-refresh akili baada ya pilika za wiki nzima. Unless alinidanganya kuhusu CV yake, otherwise alionekana kuwa msomi wa elimu ya juu na alinifahamisha kuwa anafanya kazi sehemu fulani nzuri tu hapa Mjini. Na hiyo CV ndo iliyonifanya nirudi kwake tena bada ya kukutana club.
?
Inawezekana pamoja na CV yake lakini ni mchunaji aliyekubuhu. Why vocha ya 10,000?
 
Back
Top Bottom