Mabinti wengi wa sasa hawajui kununua mboga sokoni

Slay queens on trend,, na bado mpaka mnye
 
Pole mkuu,hapa naanza kupata picha ya maisha halisi.
 
Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli.

Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
Usimpige risasi mkuu, agiza 🍕 tu
 
Si umeoa dem wa insta kazi kufatilia maisha ya watu Kama analipwa kwa mange kimambi na kucomment akimuita "Da mange"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…