Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoani katika kujiridhisha na kuweka angalizo tu kwa generations zinazokuja kuhusu jambo hili bila unafiki kwamba ati hakuna tatizo.
na ikiwa hakuna tatizo, kulikoni wawe stressed na mjadala huu hao beautiful angels?
maana mabinti wa watu wanateseka sana kutafuta watoto kama vile wanatafuta ajira, huku ndoa wakiwa wamezikatia tamaa kabisa kwamba hakuna, dah!
Bora ujali ndoa mara 1000 kuliko dini. Japo ulilozungumza ni kweli kabisa tuna shida pahala.Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
😂😂😂Na wengi ni washika dini kulikoni?
Mkuu ndoa ina faida gani mfano kwangu mimi kama kijana japo wa jana.?Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa
Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa
Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?
Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
Gentleman CCM ndo ushirikina namba moja nchi hiihebu acha ushirikana wako gentleman kwenye mambo ya kijamii, siasa zako peleka panapohusika
😂😂😂😂 Wako hapa jirani mkuu hata ukitaka kuchukua kwa mafungu mafungu kwa bei ya jioni, ni wewe tuKwanza wengi wao washatumika mno, wengi wameshatumia P2 na washatoa sana mimba, Sasa wanaona umri unayoyoma so wanatafuta ushindi wa jioni
Na wengi ni washika dini kulikoni?
lakini maadam,Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Unataka kufahamu faida za Ndoa?Mkuu ndoa ina faida gani mfano kwangu mimi kama kijana japo wa jana.?
Yeah kwa kijana wa kiume ni zipi?Unataka kufahamu faida za Ndoa?
Ndoa ina faida nyingi kwa wanandoa, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya faida kuu za ndoa:Yeah kwa kijana wa kiume ni zipi?
Yes,Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa
Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa
Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?
Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
Gentleman 😊 nakusalimia...pia Asante Sanaa kwa mada nzurii..yupo mmoja ana ELIMU nzurii... biashara zake nzurii.... alinambia Dr am 4 real PhD yaan sitaki kuamini nazeekea nyumbani.Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
Tuendelee kuwahimiza Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa.Yes,
hapo umepiga penyewe kabisa,
na kutokujiamini kwa vijana kuingia kwenye ndoa yawezekana kabisa kua miongoni mwa sababu ya hali hii ya kutangatanga kwa mabinti kutafuta watoto.
infact,
kataa ndoa na movement zinazofanana na hizo ni vijana kujifanyia uhaini na kujihujumu wenyewe katika afya na maisha yao kiujumla. hakuna tija wala faidi ni hasara ya wazi kabisa kwa kijana kutokua na ndoa kwa wakati muafaka
Ustawi wa kifedha kijana anaweza kuujenga bila ndoa mkuu ambapo kwenye maisha ya sasa hilo ni jambo kuu zaid.Ndoa ina faida nyingi kwa wanandoa, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya faida kuu za ndoa:
1. Upendo na Ushirikiano
Ndoa huleta mshikamano wa kihisia na kiroho kati ya wanandoa.
Hutoa fursa ya kushirikiana katika changamoto na mafanikio ya maisha.
2. Msaada wa Kihisia na Kijamii
Wanandoa wanapata faraja, ushauri, na msaada wakati wa shida.
Huongeza furaha na kupunguza upweke.
3. Ujenzi wa Familia Imara
Ndoa huleta utulivu wa kifamilia, muhimu kwa malezi bora ya watoto.
Watoto hukua katika mazingira yenye upendo na maadili mazuri.
4. Faida za Kiafya
Tafiti zinaonyesha kuwa watu walio kwenye ndoa mara nyingi huishi maisha marefu na yenye afya bora.
Kupata mwenza wa kushirikiana naye huweza kupunguza mfadhaiko na msongo wa mawazo.
5. Ustawi wa Kifedha
Wanandoa hushirikiana katika kupanga na kutumia rasilimali zao kwa ufanisi zaidi.
Uwezo wa kuwekeza pamoja na kujenga maisha bora ya kifamilia huongezeka.
6. Uimarishaji wa Maadili
Ndoa husaidia kudumisha maadili na desturi za kijamii.
Hupunguza tabia hatarishi kama uzinzi na uasherati.
7. Baraka za Kiroho
Katika dini nyingi, ndoa inachukuliwa kama ibada au agano takatifu linaloleta baraka.
Huimarisha imani na kumfanya mtu aishi kwa maadili mema.
Kwa ujumla, ndoa ni taasisi muhimu inayochangia ustawi wa mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla.