Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

ni katika kujiridhisha na kuweka angalizo tu kwa generations zinazokuja kuhusu jambo hili bila unafiki kwamba ati hakuna tatizo.

na ikiwa hakuna tatizo, kulikoni wawe stressed na mjadala huu hao beautiful angels?

maana mabinti wa watu wanateseka sana kutafuta watoto kama vile wanatafuta ajira, huku ndoa wakiwa wamezikatia tamaa kabisa kwamba hakuna, dah! :pulpTRAVOLTA:
Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa

Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa

Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?

Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
 
Mimi sijaoa ila niko mbioni ,nitaoa binti wa umri mkubwa hata miaka 30 kwa sababu nakamilisha nusu ya dini...Ishu ya mtoto kwangu sio lazima kama nitapata fresh tu
Lakini asiwe na mtoto ,mimi sina kabisa .
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Bora ujali ndoa mara 1000 kuliko dini. Japo ulilozungumza ni kweli kabisa tuna shida pahala.
 
Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa

Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa

Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?

Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
Mkuu ndoa ina faida gani mfano kwangu mimi kama kijana japo wa jana.?
 
Na wengi ni washika dini kulikoni?
Wanawatafuta hata wainjilisti wawaoe, wale jamaa waliokuwa wanawatoa outing enzi wako kwenye ubora hawapokei hata simu zao walishawatafuna kama chewing gum au muwa

Walitoa sana mimba zao mpaka vizazi vikaharibika ili wawe huru kwenda kwenye mirusho

Mwanamke single mwenye 30+ na ni mtu wa kanisani mwogope sana anatafuta mwinjilisti wa kumfanya her retirement plan

Mkimbie kama ukoma kashatumika sana sasa ameona aingie church kumnasa mwanaume yoyote halafu aje kutoa ushuhuda eti Mungu kampa mume

Ni tapeli huyo kama matapeli wengine, mkimbie ni malaya mstaafu
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
lakini maadam,
si ni afadhali uwe na watoto tena wengi zaidi kadiri ya neema na baraka za Mungu, ili wakukeep busy na mwenye bidii zaidi ya kupamania uchumi kwaajili ya kuwategemeza watoto wako, ili nawe ukiwa umeretire uinjoy matunda ya kazi za mikono yako na uzao wako?

kweli ulivyo tajiri hivyo halafu huna hata katoto kakusingiziwa, unainjoy nini sasa kwa mfano?:pulpTRAVOLTA:
 
Yeah kwa kijana wa kiume ni zipi?
Ndoa ina faida nyingi kwa wanandoa, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya faida kuu za ndoa:

1. Upendo na Ushirikiano

Ndoa huleta mshikamano wa kihisia na kiroho kati ya wanandoa.

Hutoa fursa ya kushirikiana katika changamoto na mafanikio ya maisha.

2. Msaada wa Kihisia na Kijamii

Wanandoa wanapata faraja, ushauri, na msaada wakati wa shida.

Huongeza furaha na kupunguza upweke.

3. Ujenzi wa Familia Imara

Ndoa huleta utulivu wa kifamilia, muhimu kwa malezi bora ya watoto.

Watoto hukua katika mazingira yenye upendo na maadili mazuri.

4. Faida za Kiafya

Tafiti zinaonyesha kuwa watu walio kwenye ndoa mara nyingi huishi maisha marefu na yenye afya bora.

Kupata mwenza wa kushirikiana naye huweza kupunguza mfadhaiko na msongo wa mawazo.

5. Ustawi wa Kifedha

Wanandoa hushirikiana katika kupanga na kutumia rasilimali zao kwa ufanisi zaidi.

Uwezo wa kuwekeza pamoja na kujenga maisha bora ya kifamilia huongezeka.

6. Uimarishaji wa Maadili

Ndoa husaidia kudumisha maadili na desturi za kijamii.

Hupunguza tabia hatarishi kama uzinzi na uasherati.

7. Baraka za Kiroho

Katika dini nyingi, ndoa inachukuliwa kama ibada au agano takatifu linaloleta baraka.

Huimarisha imani na kumfanya mtu aishi kwa maadili mema.

Kwa ujumla, ndoa ni taasisi muhimu inayochangia ustawi wa mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla.
 
Tuwahamasishe Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa

Haipendezi kukuta movement za Vijana wetu wa kiume kukataa Ndoa

Unadhani bila Vijana wa kiume kuwa willingly Kuoa, hao mabinti wataolewa na nani?

Tupige vita movement ya Vijana wa kiume Kukataa Ndoa
Yes,
hapo umepiga penyewe kabisa,
na kutokujiamini kwa vijana kuingia kwenye ndoa yawezekana kabisa kua miongoni mwa sababu ya hali hii ya kutangatanga kwa mabinti kutafuta watoto.

infact,
kataa ndoa na movement zinazofanana na hizo ni vijana kujifanyia uhaini na kujihujumu wenyewe katika afya na maisha yao kiujumla. hakuna tija wala faidi ni hasara ya wazi kabisa kwa kijana kutokua na ndoa kwa wakati muafaka:pulpTRAVOLTA:
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman 😊 nakusalimia...pia Asante Sanaa kwa mada nzurii..yupo mmoja ana ELIMU nzurii... biashara zake nzurii.... alinambia Dr am 4 real PhD yaan sitaki kuamini nazeekea nyumbani.
Akaendelea sina mume, sina mtoto,umri unaenda acha TU sijui kakosea wapi.
 
Yes,
hapo umepiga penyewe kabisa,
na kutokujiamini kwa vijana kuingia kwenye ndoa yawezekana kabisa kua miongoni mwa sababu ya hali hii ya kutangatanga kwa mabinti kutafuta watoto.

infact,
kataa ndoa na movement zinazofanana na hizo ni vijana kujifanyia uhaini na kujihujumu wenyewe katika afya na maisha yao kiujumla. hakuna tija wala faidi ni hasara ya wazi kabisa kwa kijana kutokua na ndoa kwa wakati muafaka:pulpTRAVOLTA:
Tuendelee kuwahimiza Vijana wetu wa kiume kuingia Kwenye Ndoa.

Zipo faida nyingi Kwa Vijana kuishi katika Ndoa kuliko hasara ambazo zinahubiriwa humu kila wakati na timu Kataa Ndoa
 
Ndoa ina faida nyingi kwa wanandoa, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya faida kuu za ndoa:

1. Upendo na Ushirikiano

Ndoa huleta mshikamano wa kihisia na kiroho kati ya wanandoa.

Hutoa fursa ya kushirikiana katika changamoto na mafanikio ya maisha.

2. Msaada wa Kihisia na Kijamii

Wanandoa wanapata faraja, ushauri, na msaada wakati wa shida.

Huongeza furaha na kupunguza upweke.

3. Ujenzi wa Familia Imara

Ndoa huleta utulivu wa kifamilia, muhimu kwa malezi bora ya watoto.

Watoto hukua katika mazingira yenye upendo na maadili mazuri.

4. Faida za Kiafya

Tafiti zinaonyesha kuwa watu walio kwenye ndoa mara nyingi huishi maisha marefu na yenye afya bora.

Kupata mwenza wa kushirikiana naye huweza kupunguza mfadhaiko na msongo wa mawazo.

5. Ustawi wa Kifedha

Wanandoa hushirikiana katika kupanga na kutumia rasilimali zao kwa ufanisi zaidi.

Uwezo wa kuwekeza pamoja na kujenga maisha bora ya kifamilia huongezeka.

6. Uimarishaji wa Maadili

Ndoa husaidia kudumisha maadili na desturi za kijamii.

Hupunguza tabia hatarishi kama uzinzi na uasherati.

7. Baraka za Kiroho

Katika dini nyingi, ndoa inachukuliwa kama ibada au agano takatifu linaloleta baraka.

Huimarisha imani na kumfanya mtu aishi kwa maadili mema.

Kwa ujumla, ndoa ni taasisi muhimu inayochangia ustawi wa mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla.
Ustawi wa kifedha kijana anaweza kuujenga bila ndoa mkuu ambapo kwenye maisha ya sasa hilo ni jambo kuu zaid.
 
Back
Top Bottom