Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

mkuu kuna wanawake kadhaa nawajua wamezaa wakiwa kwenye 30 za mwisho na 40

huwa ni madawa yanatumika au kuna namna?
Suala la Mwanamke kuzaa linategemea kiwango cha hormone zake, uwezo wa Mayai yake na Mbegu za Mwanaume zinazokwenda kurutubisha Mayai yake.

Kuna Wanawake wanabeba mimba at their 48yrs pia
 
Aise,
inasikitisha sana, inafedhehesha sana gentleman, stress na mfadhaiko ni mkubwa mno miongoni mwa hawa dada zetu na nadhani hata vijana wa kiume pia πŸ’
 
Mimi wala sio tajiri sana ila najiweza kimtindo ,sioni kama kuna haja ya kujipa presha ya kuwa na mtoto.

Final nitakufa nitaacha kila kitu.
 
Hapo kwenye watoto kutelekezwa imetokana na kuchanga karata mbovu za binti zenu
Zimetokana na Presha wanazopata mabinti zetu Kila Leo kutoka kwenye mitandao ya Kijamii pamoja na mitaani kwao

Mwisho wanajikuta wanazaa na Bora Mwanaume
 
Angalia rationale

Wenye Ndoa

Wasio na Ndoa

Ndoa ni Taasisi imara, ndiyo iliyoweza kuzalisha Viongozi wote mashuhuri uliowahai kuwasikia na kuwaona
Sijasema ndoa haina watu makini ila nasema sio lazima kuwa makini mpka uwe na ndoa ,kwanza kabla ya kuwa kwenye ndoa unapaswa uwe makini kwanza , watu wanaingia kwenye ndoa tayari wakiwa makini.

Wanawake wa sasa kwanza hawapendi wale wanaume wanotegemea umakini wataupata ndoani, wao wanapenda mtu awe makini kwanza ndio awe na ndoa nae

Kwa hiyo kwa sasa ndoa haikupi umakini na akili bali wanaoingia ndoani ndio wanaipa ndoa umakini na akili.
 
Nkimaliza kuwasimanga mkumbuke hili: kila mtu alozaliwa kwa wakati tofauti na ndivyo hivyo hata rizq za ndoa, mali na pesa zinavyokuja tofauti.
Pili; target ya kila mzazi pindi anavyolea mtoto wakike hakuna anayetaman mwanaye azaliye nyumbani , kisa kakosa mume huo uduwanzi haupo
MAISHA NI MAGUMU KISORO ACHENI WATU WAPAMBANE WAPATE KILE WANACHOTAMANI.
 
Bora niamini nisichokijua kuliko ndoa trust me ndoa ni scum inaleta stress n kupunguza maisha ya watu kuish Kwa hekaheka zisizoeleweka magonjwa ya kujitakia yaan ndoa kichefuchefu
Kumbe na wewe ni mwanachama 🀣🀣 safi sana
 
hata kwa wazungu kukosa mtoto ni kesi, sio kila mzungu ni shoga, hana dini, hana watoto anawaza hela tu kama tunavyopenda kudhani.
 
Mimi wala sio tajiri sana ila najiweza kimtindo ,sioni kama kuna haja ya kujipa presha ya kuwa na mtoto.

Final nitakufa nitaacha kila kitu.
Gentleman,
hapo kwenye final, eti utakufa na kuacha kila kitu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana,

ni muhimu sana kuzaa ikiwa una afya nzuri ya uzazi na kiakili pia, ili hatimae basi pawepo watakao kuzika ikiwa kufa ndio jambo la maana zaidi πŸ’
 
Pamoja na changamoto hizo, bado Ndoa ina umuhimu sana Kwa mustakabali wa Vizazi vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…