cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Hapo kwenye watoto kutelekezwa imetokana na kuchanga karata mbovu za binti zenuHoja zao ni zipi?
Wanafanya Wazee tulemewe na kazi ya kuwalelea watoto zao ambao wamewatelekeza tu 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye watoto kutelekezwa imetokana na kuchanga karata mbovu za binti zenuHoja zao ni zipi?
Wanafanya Wazee tulemewe na kazi ya kuwalelea watoto zao ambao wamewatelekeza tu 😜
Yote ni mipango ya Munguni muhimu kujadli hoja hii katika ujumla ili kuepuka kuonekana wazi kumlenga mtu moja pekee
Sijasema hawawezi kuzaa, ukisoma na kuelewa nimesema chances zinapungua kwa factors nilizosema, ni mambo ya statistics tu haya!mkuu kuna wanawake kadhaa nawajua wamezaa wakiwa kwenye 30 za mwisho na 40
huwa ni madawa yanatumika au kuna namna?
Suala la Mwanamke kuzaa linategemea kiwango cha hormone zake, uwezo wa Mayai yake na Mbegu za Mwanaume zinazokwenda kurutubisha Mayai yake.mkuu kuna wanawake kadhaa nawajua wamezaa wakiwa kwenye 30 za mwisho na 40
huwa ni madawa yanatumika au kuna namna?
Bado sijafika huko na sifikirii sababu Sina sababu ya kua ivo ni maoni yangu tu na sio Kila anayetoa maoni basi ni feminist toa mawazo mgandoFeminist
Aise,Gentleman 😊 nakusalimia...pia Asante Sanaa kwa mada nzurii..yupo mmoja ana ELIMU nzurii... biashara zake nzurii.... alinambia Dr am 4 real PhD yaan sitaki kuamini nazeekea nyumbani.
Akaendelea sina mume, sina mtoto,umri unaenda acha TU sijui kakosea wapi.
Mimi wala sio tajiri sana ila najiweza kimtindo ,sioni kama kuna haja ya kujipa presha ya kuwa na mtoto.lakini maadam,
si ni afadhali uwe na watoto tena wengi zaidi kadiri ya neema na baraka za Mungu, ili wakukeep busy na mwenye bidii zaidi ya kupamania uchumi kwaajili ya kuwategemeza watoto wako, ili nawe ukiwa umeretire uinjoy matunda ya kazi za mikono yako na uzao wako?
kweli ulivyo tajiri hivyo halafu huna hata katoto kakusingiziwa, unainjoy nini sasa kwa mfano?![]()
Zimetokana na Presha wanazopata mabinti zetu Kila Leo kutoka kwenye mitandao ya Kijamii pamoja na mitaani kwaoHapo kwenye watoto kutelekezwa imetokana na kuchanga karata mbovu za binti zenu
Sijasema ndoa haina watu makini ila nasema sio lazima kuwa makini mpka uwe na ndoa ,kwanza kabla ya kuwa kwenye ndoa unapaswa uwe makini kwanza , watu wanaingia kwenye ndoa tayari wakiwa makini.Angalia rationale
Wenye Ndoa
Wasio na Ndoa
Ndoa ni Taasisi imara, ndiyo iliyoweza kuzalisha Viongozi wote mashuhuri uliowahai kuwasikia na kuwaona
Bora niamini nisichokijua kuliko ndoa trust me ndoa ni scum inaleta stress n kupunguza maisha ya watu kuish Kwa hekaheka zisizoeleweka magonjwa ya kujitakia yaan ndoa kichefuchefuBora ujali ndoa mara 1000 kuliko dini. Japo ulilozungumza ni kweli kabisa tuna shida pahala.
Yani Elon aone huu mjadala wa sisi wamatumbi ahuzunike ?😁😁😁atakua na stress za kiwango cha juu sana,
kwasabb ana enjoy nini sasa kwa mfano? Nadhani akiona mjadala huu atahuzunika sana 🐒
Mkabala na kituo Cha mafuta mwengeHujamalizia wafike wapi kwa maombi na sadaka
Kumbe na wewe ni mwanachama 🤣🤣 safi sanaBora niamini nisichokijua kuliko ndoa trust me ndoa ni scum inaleta stress n kupunguza maisha ya watu kuish Kwa hekaheka zisizoeleweka magonjwa ya kujitakia yaan ndoa kichefuchefu
hata kwa wazungu kukosa mtoto ni kesi, sio kila mzungu ni shoga, hana dini, hana watoto anawaza hela tu kama tunavyopenda kudhani.Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Na ni nadra sana kukuta mzungu asiye na dini ka left group 🤔hata kwa wazungu kukosa mtoto ni kesi, sio kila mzungu ni shoga, hana dini, hana watoto anawaza hela tu kama tunavyopenda kudhani.
Gentleman,Mimi wala sio tajiri sana ila najiweza kimtindo ,sioni kama kuna haja ya kujipa presha ya kuwa na mtoto.
Final nitakufa nitaacha kila kitu.
Pamoja na changamoto hizo, bado Ndoa ina umuhimu sana Kwa mustakabali wa Vizazi vyetuSijasema ndoa haina watu makini ila nasema sio lazima kuwa makini mpka uwe na ndoa ,kwanza kabla ya kuwa kwenye ndoa unapaswa uwe makini kwanza , watu wanaingia kwenye ndoa tayari wakiwa makini.
Wanawake wa sasa kwanza hawapendi wale wanaume wanotegemea umakini wataupata ndoani, wao wanapenda mtu awe makini kwanza ndio awe na ndoa nae
Kwa hiyo kwa sasa ndio haikupi umakini na akili bali wanaoingia ndoani ndio wanaipa ndoa umakini na akili.