Mabinti wengi wananihitaji kwa ngono tu na siyo mahusiano

the truther

Member
Joined
Sep 28, 2024
Posts
19
Reaction score
33
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..

Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..

Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.

Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba hawaitaji commitment. Mind you haya yananitokea ,sana sana kanisani na mtaani Kwa uchache.

Mimi nimeokoka na umri umesogea kidogo,nataka kuoa nifanyeje nipate mtu sirious...?

Nina umbo dogo ,Sasa sijui ndio sababu..hata mabinti wadogo wanaona wanaweza nimudu for funny..inanipa stress sana nifanyeje...?
 
Kama umeokoka kweli na kujitenga na maisha ya uzinzi, mwombe Mungu atakupatia mke mwema. Mke mwema utoka kwa Bwana.
 
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..

Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..

Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.

Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba hawaitaji commitment. Mind you haya yananitokea ,sana sana kanisani na mtaani Kwa uchache.

Mimi nimeokoka na umri umesogea kidogo,nataka kuoa nifanyeje nipate mtu sirious...?

Nina umbo dogo ,Sasa sijui ndio sababu..hata mabinti wadogo wanaona wanaweza nimudu for funny..inanipa stress sana nifanyeje...?
Wewe umeokoka..vipi hao wanawake wanaokutaka tu for sex nao wameokoka?
 
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..

Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..

Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.

Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba hawaitaji commitment. Mind you haya yananitokea ,sana sana kanisani na mtaani Kwa uchache.

Mimi nimeokoka na umri umesogea kidogo,nataka kuoa nifanyeje nipate mtu sirious...?

Nina umbo dogo ,Sasa sijui ndio sababu..hata mabinti wadogo wanaona wanaweza nimudu for funny..inanipa stress sana nifanyeje...?
Ukitaka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke kwa njia rahisi sana nenda msibani. M-time mmoja umpe pole na usikimbilie kuchukua namba, muombe muonane baada ya hapo. Ni kama kumsukuma mlevi.
Rudi unipe mrejesho ukishafanya niliyokuelekeza.
 
Thanks brother
 
Back
Top Bottom