Mabinti wengi wananihitaji kwa ngono tu na siyo mahusiano

Mabinti wengi wananihitaji kwa ngono tu na siyo mahusiano

sawa kijana maaana wanaume wanapungua kwa kasi sana kubali kuwa sex toy tu kijana
 
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..

Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..

Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.

Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba hawaitaji commitment. Mind you haya yananitokea ,sana sana kanisani na mtaani Kwa uchache.

Mimi nimeokoka na umri umesogea kidogo,nataka kuoa nifanyeje nipate mtu sirious...?

Nina umbo dogo ,Sasa sijui ndio sababu..hata mabinti wadogo wanaona wanaweza nimudu for funny..inanipa stress sana nifanyeje...?
Fafanua umbo dogo. Una kiba100?
 
Back
Top Bottom