Mabinti wengi wananihitaji kwa ngono tu na siyo mahusiano

Mabinti wengi wananihitaji kwa ngono tu na siyo mahusiano

Huku huwez pata bwan,, tangazo limekaa ki mwaka 2025
 
"Nina umbo dogo ,Sasa sijui ndio sababu..hata mabinti wadogo wanaona wanaweza nimudu for funny..inanipa stress sana nifanyeje...?"

Hiyo kauli ni kama ya mzabzab
#Kibamia 🤣🤣
Sio mie jama i mbona mnanisingozia.
Id yangu jf ni moja tuu.
 
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..

Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..

Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.

Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba hawaitaji commitment. Mind you haya yananitokea ,sana sana kanisani na mtaani Kwa uchache.

Mimi nimeokoka na umri umesogea kidogo,nataka kuoa nifanyeje nipate mtu sirious...?

Nina umbo dogo ,Sasa sijui ndio sababu..hata mabinti wadogo wanaona wanaweza nimudu for funny..inanipa stress sana nifanyeje...?
Sahivi uko wapi?
 
Back
Top Bottom