Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga kupata huduma sahihi na safi kwa wagonjwa wao ni kitu cha kawaida na cha kila siku. Mabishano au mijadala ya namna hiyo kuna wakati mwingine inakuwaga mikali sana (heated). Mijadala hii hufanyika aidha kati ya mtu mmoja mmoja au kivikundi. Mabishano kama hayo ni very medically ethical kwani yanalenga kutoa huduma bora kwa mteja/ mgonjwa. Cha muhimu tu ni kwamba mabishano kama hayo hayapaswi kufanyika mbele ya mteja/ mgonjwa.
Mabishano yaliyotokea kati ya muuguzi na mmaabara huko Tabora yalikuwa ya aina hiyo. Muuguzi alikuwa anataka mteja wake mwenye mimba afanyiwe kipimo cha malaria ya MRDT ambacho mmaabara alikuwa amekataa kwa sababu kipimo hicho hakitatoa majibu sahihi kwa kuwa diagnostic kits alizokuwanazo za kipimo hiko zilikuwa zime expire. Muuguzi hakukubaliana na sababu hizo na alitaka mmaabara afanye tu kipimo hicho hata kama expirely date ya kits hizo ilishavukwa. Mteja hakuwepo eneo la mabishano.
Tatizo liko kwa yule aliyeamua kuwarekodi wawili hao walipokuwa wanabishana na kuyarusha mabishano hayo kwenye mitandao ya kijamii kwa manufaa anayeyajua mwenyewe. Kama mtu huyu naye ni medical professional, basi atakuwa na kesi kubwa ya ki medical ethics ya kujibu.
Tatizo suala hili limechukuliwa kisiasa baada ya video hiyo kuonekana na wanasiasa. Wale innocent persons wametimuliwa kazi. Yule culpit aliye record na kusambaza hizo picha anapeta. Eti anaitwa whistle blower. Ana blower kitu gani ambacho hakiko sahihi ki medical?