SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ni kweli mkuu...
Wenye mabishano ya kidini wengi hawamjui Mungu...
Ukimjua Mungu huwezi kufia Dini...
duh! Hapo umenena maana watu wanaangamia kwa kukosa maaarifa
Nachelea kusema nyie ni wanafiki na ndio wale wasioutumia akili. DR HAYA LAND ni mpuuzi tu.Kwa Mara ya kwanza DR HAYA LAND umeongea Jambo la akili.
Many thanks.
Anapenda kutukana na matusi ya chini chini
Huwezi kusema wanaobishana kuhusu dini wana upeo mdogo au wana akili ndogo. Hayo ni matusi
Ukifuatilia mlolongo wa Uzi utagundua watu kama hao nilio waorodhesha hapo juu, wamekurupuka. Wapo kimakusudi. Mabandiko yao ndio yanayotaka kuamninisha aliyoyasema DR HAYA LAND ni sahihi wakati sio.
Hebu fikiri,
Baadhi tu ya watu wenye upeo mkubwa wa akili ndio huwa kidini dini na ni Baadhi tu ya watu wa kidini hutoa hoja za kidini, kwa hiyo ina maana, ni baadhi tu ya watu wenye wenye akili ndio hutoa hoja za kidini.
Hivyo ni kusema kwamba si sahihi kusema kuwa hoja za kidini zinatolewa au mabishano ya kidini zinatolewa na watu wenye upeo mdogo wa akili
Kumbuka, madaktari kama huyu Daktari uchwara hapa huwa wanafikiria wao ndio wenye akili zaidi za wenzao wasio madaktari. Sasa niambieni, ni Daktari gani anayeshambulia tabia badala ya kiini cha hoja yenyewe? Hiyo ndio kuwa na upeo mkubwa wa akili?
Kwa kifupi, kauli yake ni matusi tu enye lengo la kuwacharanga watu wanaoshikilia imani za kidini. DR HAYA LAND Ni muhimu kuheshimu imani na maoni ya watu, bila kujali kiwango cha akili zao.
Wacheni Ugaidi wa mtandaoni