dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Na wewe ukaamini kabisa kuwa hilo Jin USAπΊπΈ limeishiwa silaha siku likitekenywa kunako litatumia nyuklia maana huwa halijui kuvumilia maumivuLakini Kuna tarifa kwamba, Marekani kaishiwa silaha mkuu
Hizo kazipata wapi tena?
Hizi taarifa za KISHIWA silaha ni za muda mrefu,kama utakumbuka US alisisitiza sana mazungumzo kule Pakistan.Iran ikasisitiza makombora ndio yaongee,unajua KWA nini?Lakini Kuna tarifa kwamba, Marekani kaishiwa silaha mkuu
Hizo kazipata wapi tena?
Hakuna nchi adui kwa Waislam kama hio hawa ndio waliye fanya mbinu ya kuvunja nguvu ya Iraq sa wapo mbioni kushiriki kuivunja Iran lakini kwa Iran imekula kwao afu wakipigwa na Iran wanadai Iran inawashambulia hahaha pia ndege zao Kuwait na Baharain na UAE zinapiga Iran afu wanakuambia eti Waislam hao hahahaVideo inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku.
Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza kwamba nchi yake haitumiwi na jeshi la Marekani kuishambulia Iran.
View attachment 3639939
Hizo habari za Marekani kuishiwa silaha kwa kiwango hicho zipuuzwe si za kweli mkuu. Ila defense system zao zimepwayaHizi taarifa za KISHIWA silaha ni za muda mrefu,kama utakumbuka US alisisitiza sana mazungumzo kule Pakistan.Iran ikasisitiza makombora ndio yaongee,unajua KWA nini?
Iran ilipenyezewa taarifa KUwa uwezo wa viwanda vya Us kuzalisha silaha KWA mwaka ni makombora mia saba Xi Jinping ,π
Wakitumia mia KWA siku ,KWA siku saba Hana kitu
Hakuna nchi adui kwa Waislam kama hio hawa ndio waliye fanya mbinu ya kuvunja nguvu ya Iraq sa wapo mbioni kushiriki kuivunja Iran lakini kwa Iran imekula kwao afu wakipigwa na Iran wanadai Iran inawashambulia hahaha pia ndege zao Kuwait na Baharain na UAE zinapiga Iran afu wanakuambia eti Waislam hao hahaha
View: https://vt.tiktok.com/ZS42k8BSx/
KuwaitLakini Kuna tarifa kwamba, Marekani kaishiwa silaha mkuu
Hizo kazipata wapi tena?
Dini ndio bangi mbaya kushinda bangi zote katika dunia hii na waafrika ndio waathirika wakubwa wa hiyo bangi.Hizi taarifa za KISHIWA silaha ni za muda mrefu,kama utakumbuka US alisisitiza sana mazungumzo kule Pakistan.Iran ikasisitiza makombora ndio yaongee,unajua KWA nini?
Iran ilipenyezewa taarifa KUwa uwezo wa viwanda vya Us kuzalisha silaha KWA mwaka ni makombora mia saba Xi Jinping ,π
Wakitumia mia KWA siku ,KWA siku saba Hana kitu
Naaam, hadi leo bado najiita hivyoNakumbuka mwanzoni mwa kipindi cha vita baina ya Rusia na Ukraine kulitokea team 2, ya kwanza ilikuwa team Ukraine na shoga zake na ya pili team Rusia. Kulikuwa na updates zinatembea sio mchezo. Akatokea mshikaji mmoja anajiita HIMARS akiwa team Ukraine. Marekani walipoanza kumpatia Ukraine HIMARS, jamaa akaja na kamsemo kake kwamba NIGHTS ARE FOR THE HIMARS πKusema kweli ule msemo ulikuwa unanikosesha raha sana nikiwa kama team Rusia ila wababe wakapata muarobaini zikawa zinapigwa kiberiti tu na Rusia
Salamu kwa mkuu HIMARS