Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Waoga waliopeleka mechi saa 1 bila kufata taratibuWe expect so, Yanga waoga.
Hata ingekua saa mbili sio issue kwa aliyejiandaa, kwani Simba hawajui kwamba muda umebadilishwa?Waoga waliopeleka mechi saa 1 bila kufata taratibu
Tifutifu si watu wenu kwa sasa.....matunguli yameonyesha saa 11 mnakufa mkakimbilia kubadili mudaHata ingekua saa mbili sio issue kwa aliyejiandaa, kwani Simba hawajui kwamba muda umebadilishwa?
Tunguli mnazo nyie mnao kuwa limited na muda, Simba ni kazi kazi tu.Tifutifu si watu wenu kwa sasa.....matunguli yameonyesha saa 11 mnakufa mkakimbilia kubadili muda
Mngekuja saa 11 kieleweke matunguli united nyieTunguli mnazo nyie mnao kuwa limited na muda, Simba ni kazi kazi tu.
Matunguli mnayo nyie waoga, Match ni muda wowote kwa aliyejiandaa muda haijalishi.Mngekuja saa 11 kieleweke matunguli united nyie
Heheh...Hivi nawaza tuu hizo hela watarudishiwa vipi??...Kwa maana? [emoji848]
Balaa hili....na maisha ya Dar yalivyo magumu dadeq
Hata vicoba wana sheria na kanuni zinazowaongoza!!sheria inasemaje? unafikiri mambo ya soka yanendeshwa kama vicoba