Mabomu ya Machozi Kutumika Uwanja Wa Taifa Kutawanya Watu

Mabomu ya Machozi Kutumika Uwanja Wa Taifa Kutawanya Watu

Habari.

Hadi sasa baada ya kutangazwa kuahirishwa kwa mechi kati ya Simba Sc Vs Young Africans.

Police wanatumia mabomu ya machozi kutawanya watu.

Kwa aliye na ndugu jamaa na rafiki hakika huku uwanjani mambo yamekuwa karaha.

Nitaleta mrejesho zaidi acha nipambane kujiokoa na mabomu ya machozi haya ndugu zangu.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Kichwa Kichafu.
Ukome kudhabikia vyura
 
Screenshot_2021-05-08-19-02-00-1.png

nitawaambia nini Waha!?
 
ilinitokea 2019 hapo kwa mkapa kwenye mechi ya kufuzu afcon vs Uganda..
Nilikimbia aisee sio poa mpaka nikajishangaa ivi kumbe nina spidi kiasi hichi....
Tulijaa sana ile siku
 
Back
Top Bottom