Mabomu ya Machozi Kutumika Uwanja Wa Taifa Kutawanya Watu

Tushukuru Mungu kama watu hawajakanyagana mpaka kufa.
Nikikumbuka kile kilichotokea hapo Taifa kwenye zoezi la kuaga maiti ya Magufuli, hizi mikusanyiko ya watu wengi viwanjani huwa naziogopa.
 
Matunguli mnayo nyie waoga, Match ni muda wowote kwa aliyejiandaa muda haijalishi.
Hii ni ligi profesheno wewe sio ndondo cup unajikurupukia tu kucheza mda wowote ukishavimbiwa harage
 
Inatakiwa waziri mwenye dhamana aje na majibu ya maswali haya siku akiita press kuongelea hili suala
Nani atamsikiliza huyo Zuzu? Kama mama atamwacha kwenye nafasi na yeye ajiandae kuunganishwa kwenye lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…