Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa.

Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
 
Acha ajaze mana ilisemekana hatajaza japo kwa bure.
 
Ina maana wa bure wameenda kukaa kwa waliolopia security wamezidiwa.
 
wamepata wapi hela wakati mashabiki wao ni maskini? ndio maana wakaambiwa waingie bure
Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa.

Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
 
Back
Top Bottom