Mwanadiplomasia Mahiri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2019 Posts 491 Reaction score 1,907 Mar 30, 2024 #1 Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Mar 30, 2024 #2 Uwanja umejaa umeshaambiwa
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Mar 30, 2024 #3 Watarudishiwa hela zao.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Mar 30, 2024 #4 Acha ajaze mana ilisemekana hatajaza japo kwa bure.
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Mar 30, 2024 #5 Eeehh Yanga ndio club namba moja Tanzania
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Mar 30, 2024 #6 Mambo ya hovyo sana
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Mar 30, 2024 #7 Bure ni gharama
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,838 Reaction score 25,282 Mar 30, 2024 #8 Eti yanga ndio timu
John_Anthony JF-Expert Member Joined Mar 27, 2024 Posts 290 Reaction score 460 Mar 30, 2024 #9 Andre-Pierre said: Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje? Click to expand... 😞😞
Andre-Pierre said: Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje? Click to expand... 😞😞
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Mar 30, 2024 #10 Ina maana wa bure wameenda kukaa kwa waliolopia security wamezidiwa.
F From Meru JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 3,931 Reaction score 9,376 Mar 30, 2024 #11 wamepata wapi hela wakati mashabiki wao ni maskini? ndio maana wakaambiwa waingie bure Andre-Pierre said: Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje? Click to expand...
wamepata wapi hela wakati mashabiki wao ni maskini? ndio maana wakaambiwa waingie bure Andre-Pierre said: Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje? Click to expand...