Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi tv za tz bomu kweli kweli. Wamejazana hapa na makamera yao muda mrefu lakini hakuna live coverage. Hata Star tv ambao wanatangaza live kutoka Dodoma hawaoneshi yanayojiri ukumbi wa bunge ambayo ni historia kubwa sana. Wananchi wameamua kufanya public hearing yao nje ya bunge barabarani baada ya kuzuiwa kuingia ndani
askari wa dizaini hiyo huwa nawafananisha na mbwa!! wanakubali kila kitu wanachoambiowa na mafisadi ili mradi tu wamepigiwa miluzi.
askari kama huyo ukienda kwenye nyumba anapoishi (kota) utakuta sebule imegawanywa mara mbili kwa kipande cha shuka: upande mmoja wanakaa wageni, upande mweingine analala binti yake. asubuhi akiwa anakwenda kukoga lazima apite alipolala binti yake huku amevaa kitaulo cha machinga ambacho hakikaushi maji.
Sasa kama ukumbi hautoshi,mnataka watu waruhusiwe kuingia ili wakakae wapi?
Public hearing hii inafanyika kwa siku 3 mfululizo,sio lazima kila mtu aingia leo...waweke utaratibu wa wale waliojiandikisha kutoa maoni yao juu ya muswada ndio waingie ndani kwa zamu kulingana na uwezo wa ukumbi kubeba watu. Wakimaliza watoke na kuwapisha wengine wenye maoni yao. Wengi wa waliojazana pale ni mashabiki na washangiliaji-wale hawana haja ya kuwemo ndani,wanaweza kufuatilia proceedings hizo kwa kutumia PA system nje ya ukumbi na kwenye vyombo vya habari-radio ONE wanarusha live.
Kwa wale walioamua kuendesha public hearing yao nje,ni counter-productive kwasababu maoni yao hayatafika yanapotakiwa kufikishwa...sana sana wanapoteza muda wao.
By the way,mjadala wa leo ni kuhusu Muswada wa kuanzisha tume ya Katiba, na sio kujadili Katiba yenyewe...hivyo inputs/ideas/critique inatakiwa ku focus kwenye vifungu vilivyo ndani ya Muswada wenyewe.
Baada ya kusema haya mimi nina wazo moja japo kwa mchakato unaoendelea sasa linaweza kuwa limepitwa na wakati. Kwa nini zisiwepo mechanism nyinginezo za kukusanya maoni juu ya muswada husika kama vile wananchi kuruhusiwa kutoa maoni yao kwa njia ya barua, e-mail,social network platforms etc
Kwa kuruhusu hizo njia nyingine,hata watu wasioweza kufika Dar,Dodoma au Zanzibar physically wataweza kutumia haki yao ya kutoa maoni pasipo kulazimika kuwepo kwenye maeneo yanapofanyika shughuli hiyo
Sijajua unamwambia nani na hapa hatuko kushinda nani kajiunga lini...kama kuna kitu anakifanya sivyo...ni bora ukatumia ukongwe wako wa hapa JF kumuelekeza ingawa hata wewe unaoekana ni mchanga tumtu mwenewe umejiunga juzi kwenye jf. ndo mana huwezi kuwasilisha hoja. craaaaaaaaaaaaaaaap!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pamoja mkuuKuchukua maoni ya wananchi si ombi kwa kwa nchi hii ndiyo yao sasa siku uvumilivu ukiwashinda sijui mtakimbilia wapi. Nina uhakia kwa hali inavyoendelea patakuwa kama Tunisia au Misri au Libya kama muswada huu utapitishwa na bunge naomba sana tusilaumiane katika hili kwa katiba ya nchi si ya mafisadi wala CCM ni ya WANANCHI na kama hamuamini fanyeni mnavyotaka.
Hivi JK anasahau kama asilimia 64 ya watz haikumchagua? na anasahau kama asilimia zaidi ya 70 ya waTZ hawakupiga kura kwa sababu ya katiba iliyoko?, au amechoka kuvumiliwa? sasa aendelee kuwachokoza wananchi.
hawa jamaa nawaamini kiasi furani tofauti na TBC sijui nini kimewasibu...star tv imehairisha kulusha live, wanasema watalusha baadaye nazani wanarecord kisha ndo warushe, nazan there is something???