Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
VIJANA WENZETU DODOMA MACHUNGU YENU YA KUNYIMWA HAKI YA KUSHIRIKI 'PUBLIC HEARING' JUU YA MUSWADA WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA IMETUSIKITISHA SANA!!!!!!!!!!!
Kwa nini Publi Hearing ya Dodoma iwe ni haki kwa makada wazee wa CCM tu ndio wawe wanaruhusiwa kupita geti la bunge kwenda kutoa maoni yao kwa huo muswada wa katika??????
Hata hapa Karimjee Halll watu tulibanana sana kama dagaa ndani ya kikapu hivyo tunapendekeza suala la muswada wa katiba, kama ni Public Hearing kweli, basi mikutano ya Dar na Dodoma zote zihamishiwe kwenye viwanja vyetu vya mpira vilivyoko jirani na kuongezwe walau siku 21 zaidi maana si suala la utani wala sinema ya maigizo hii.
Je, ni kweli katiba ya taifa letu sote mnaona bi mali ya CCM zaidi kuliko vijana wenzetu Dodoma ambao haswa ndio tunahitaji ustawi mzuri wa taifa kuliko hata wazee????????????
Halafu mara baada ya kupanga watu wenu maalum ndio mnatarajia kuja kututwisha maoni ya kuchonga na kutegemea taifa itatulia kwa mtindo huo??????
Mjuekijana mmoja akitendewa visivyo haki kama ambavyo mlivyofanya hapo Dodoma basi mjue kosa hilo ni kwa vijana woooote nchini na hali kama hiyo kamwe haitovumilika saaaana haki ya msingi kikatiba ndio hiyo mnalitia mchanga.
Mapambano mbeeele na Uzalendo mbeeeele kama tai lakini katika HAKI!!!!!

haya sasa! kumekucha, FFU wamewasha risasi za mpira na kuanza kufurusha watu toka kwenye geti la bunge.....
wanasafisha njia yote, vijana na wanaharakati wamevuka na kuingia upande wa pili wa barabara, askari wanaranda randa.
it has been an embarasment kwa umma kwani mh godbless lema aliitwa aje azungumze na vijana. akapewa pendekezo kuwa chimwaga hall itumike, vijana wametaka jamhuri stadium instead...
vijana wametaka waliomo ndani wasitishe zoezi na lifanyike upya mara moja hapo jamhuri stadium....
vijana na wanaharakati wana sababu ya msingi.....
1. wakina mama waliopewa dozi na mama kombani washaingia ukumbini
2. watu wanaingia kwa kuwa identified.....eg viongozi wa ccm
3. mbunge wa dodoma mjini mheshimiwa malole mapema asubuhi alileta champion mbili zilizojaa wanafunzi wa shule yake ya city kuja kuunga mkono muswaada. (ikumbukwe kuwa mheshimiwa malole aliwatumia hawa hawa wanafunzi kushinda kura za maoni na kuteuliwa kuwa mbunge)
4. vijana na wanaharakati wamefika tangu saa moja asubuhi na kuambiwa kuwa ukumbi umejaa....
ntaendelea kuwajuza!