Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Jamaa wabaguzi kinoma wakikupa mswala ukalie mkiondoka wanaenda kuosha kama Amekalia mbwa licha ya ndugu zangu kukulia na kuoa zanzibar ila mimi hilo la kwenda kuoa huko nimelokataa hawa jamaa ni wabaguzi ukitaka kuoa mtoto wao usiwe na kisogo uwe kama sigara nyota wanajiona waarabu.
 
Watanganyika uwo ubaguzi mumefanyiwa lini mumejazana tele huku zenji sijawahi kuona mumebaguliwa acheni chuki zisizo na maana.
 
Watanganyika uwo ubaguzi mumefanyiwa lini mumejazana tele huku zenji sijawahi kuona mumebaguliwa acheni chuki zisizo na maana.

Naomba nikuulize swali rahisi sana ! Kama unaishi Tanzania bara ukitokea Zanzibar utahitaji nini na nini ili uweze kuuziwa/kumiliki Ardhi Tanzania bara ? Na wakati huo huo mtu anayehamia kutoka bara atahitaji nini na nini kuweza kumiliki/kuuziwa ardhi Zanzibar?
 
Swala la Ardhi ni suala la kisheria kwanini uanhusisha na masuala ya ubaguzi? mbona mnakua na mihemko iliyopitiliza?
 
Afu kuna Mapinduzi Cup!!
 
Swala la Ardhi ni suala la kisheria kwanini uanhusisha na masuala ya ubaguzi? mbona mnakua na mihemko iliyopitiliza?
Kwamba sheria ya Zanzibar inamtambua Mtanzania bara kama mgeni ? Unafahamu ugumu uliopo kwa mtanzania bara kupata barua hata ya sheha hata kama akiwa na barua ya mwenyekiti wa bara ?
 
Mwanyiko pambana huko huko kwa Machogo wenzio
 
Kwamba sheria ya Zanzibar inamtambua Mtanzania bara kama mgeni ? Unafahamu ugumu uliopo kwa mtanzania bara kupata barua hata ya sheha hata kama akiwa na barua ya mwenyekiti wa bara ?

kwani hufahamu kuwa Mtanzania Bara anatambulika kama Mgeni Zanzibar kwa mujibu wa sheria za Zanzibar? Na hufahamu kuwa serekali ya SMT imeliridhia hilo? na imekua hivo toka Muungano huu ulipoanza.
 
Hakuna watu wabinafsi kama Wazanzibari. Wana rohoooo mbayaaaaa alafu walivyo vilaza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…