Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Kiboko ya Zanzibar alikuwa JPM. Mahakama ya Kadhi ili kufa kifo cha Mende.
 
Kuna vijamaa vyetu vizanzibar basi huwa vinavichekesha ila vikirudi kwao hata laini vinabadilisha
Tuliwasoma tukawa tunaishi km wanavyotamba siku hizi hata salamu havitoi [emoji16]
 
Zanzibar kama Moroco tu
 
Kuna watanzania halafu kuna watanzania bara. Alieturoga ni balaa.
 
Sidhani kama hili linawezekana uhuni wa watu wachache ukomeshwe mara moja.
#Muungano_daima.
 
china tumeungana nayo ndio maana unapata vitu kwa kodi ya kawaida.ushawai kuagiza vitu ulaya usikie ushuru wake
Bidhaa kutoka china kuja Tanzania zinakuwa hazina ubora ndiyo maana ushuru ni mdogo tofauti na Bidhaa kutoka Ulaya mfano TV kutoka ulaya lazima iwe ushuru mkubwa kwanza bei yake nikubwa kwakule , Ulaya bidhaa zao ni bora wewe nunua sandal kutoka ulaya na ununue sandal kutoka China, naamini China sandal zake umevaa sana miezi 6, ata bidhaa za umeme kanunue kariakoo uone uimara wake.
 
Wazanzibar na Ngumi wapi na wapi?
Hapo wangepelekewa mashindano ya taarab labda
Wazanzibari hawa pigani hakuna mabondia Serikali ya SMZ hairuhusu michezo ya kupigana
 
wanajiona wa oman na waarabu kumbe asili yao ni congo,kigoma au kiujumla bara hapa
Yaani nyinyi wabara na homa ya uarabu! Inawaumiza sana lakini poleni maisha ndivyo yalivyo wengine waarabu wengine waafrika.
 
Yaani nyinyi wabara na homa ya uarabu! Inawaumiza sana lakini poleni maisha ndivyo yalivyo wengine waarabu wengine waafrika.
Ccm haitaki waarabu koko..ninyi ndio mmeharibu hicho kisiwa kwa kupandikiza roho za chuki na utengano.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani hawa NI wabaguzi kuliko tunavyofikiri kuna mambo ambayo yanaonyesha kuwa haja zetu wana roho ya ubinafsi kama kuna mtu ana kumbukumbu siku ambayo timu ya Zanzibar heroes ilivyoifunga timu ya Tanganyika walitoa kebehi za kila aina lakini Sisi mara tunawachukulia kama ndugu zetu ,imagine Hassan Mwakinyo kiimani NI muislam na wazanzibar wengi NI waislam wapo radhi kumbagua kwa utaifa wake na kusahau kuwa ni dhambi kubwa muislam kumnyanyapaa muislam mwingine . Jamaa. wamejaa na roho za visasi Sana kwa kuhisi kuwa wanaonewa kwa kila jambo
 
Hao huwa wanajulikana kwa ubaguz kaka.. Ata makambini uko jeshin huwa wanakaa kaa wenyewe tu. Muungano ni siasa tu ila ukwel unajulikana sana tu. Wewe cha kufanya pambana uku uku Bara kulikojaa watu wema wasikuwa na makuu..wachana nao hao
 
Hao huwa wanajulikana kwa ubaguz kaka.. Ata makambini uko jeshin huwa wanakaa kaa wenyewe tu. Muungano ni siasa tu ila ukwel unajulikana sana tu. Wewe cha kufanya pambana uku uku Bara kulikojaa watu wema wasikuwa na makuu..wachana nao hao
Kwanini makambini wasi watawanye ili wakose kukaa kima kundi?
 
Kupigana boxing wanajua? Tuanzie hapo.
Wataishia hapohapo michenzani na Najani Mapana hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…