Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Waachieni hilo pambano waliandae wenyewe. Huyo mzungu mleteni Makolola acheze pambano.
 
Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Kwani huyo bondia MMarekani ana interest ya kucheza na wazanzibari?; wazanzibari wasikie ukiwa bara, ukifika huko ndo utajua kuwa wale ni viumbe wa dunia nyingine
 
Jecha anamiliki heka 200 kilosa

Lkn FRANK Haruhusiwi hata kumiliki miguu mitatu ya kipande Cha ardhi pale mwembe ladu au kibanda maiti

Muungano wa ajabu huu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tumezidi kujipendekeza kwao.
Halafu wanachoogopa ni kudundwa mangumi...wa zanzibari mwili mdebwedo watampiga nani
 

Hapana ambapo mchezaji wa Morocco alizungumza nena tu kwenye maelezo yake, acheni kukaaza mambo kijinga.
 
Hapana ambapo mchezaji wa Morocco alizungumza nena tu kwenye maelezo yake, acheni kukaaza mambo kijinga.
Umeyataka mwenyewe. Ngoja nikupe vidonge. Ingawa nilitaka kweli Morocco ashinde. Hii kama ni fake news niite mjinga Tena nitakufuata nipate uelevu.
====
The Atlas Lions of Morocco is not for Africa , despite being on the African Continent .
From the abundance of the heart the mouth speaks ...
** In 1963 , Morocco refused to sign a commitment to support the decolonization of South Africa , Angola , and Mozambique .
** In 1984 , Morocco withdrew from the Organization of African Unity ( OAU ) , now AU, a decision which followed her acceptance of the Sahrawi Arab Democratic Republic as a member state.
** In 1987 , applied to join the European Commission ( EC ) now EU, but was rejected.
** In 2004 , when South Africa bid to host the 2006 World Cup , Morocco voted against South Africa to allow Germany win the bid.
** In November 2014 , Morocco withdrew from hosting the January 2015 edition of the African Cup of Nations ( AFCON ) , only two months to the tournament start.
They claimed that they did not want Ebola to spread to their country. But a few months later , they organized the Club World Cup.
** In 2022 , at the ongoing FIFA World Cup , after their win against Portugal , they dedicate their win to Arabs around the World

You see them as Africa's representative but they see themselves as not part of you.
====
Courtesy: microblog
 
Wanaume wanakula mchele mchele kila siku afu wanataka kupigana wao kwa wao
 

mkuu naona unahashukwa tu, Ni wapi yule mchezaji alise furaha yao ni kwa ajili ya waarabu TU
 
Kwa hiyo wanaamini hiyo nafasi walipewa wazanzibar Ila Mwakinyo akaiiba?
 
Wazanzibari si wote bali asilimia kubwa ni watu waliojaa choyo,wivu,roho mbaya na chuki kwa watu wa Tanzania bara na haswa zaidi Wakristo .
Nasema haya kutokana na uzoefu wangu wa kuishi na kufanya kazi katika visiwa hivi,Tena Unguja ni nafuu ya Pemba . Tatizo kubwa huanzia kwenye udini,uvivu na umasikini wa fikra kwa wazanzibari wengi.
Ni rahisi sana mwanamke kwenda zanzibar akitokea bara na kudumu katika biashara zisizorasmi kuliko mtu(mwanaume/mwanamke) mwenye nia ya kuchakarika kwenda kufanya kazi rasmi zanzibar .
Watakunyima ardhi watakubagua kwa sera na hata kwa kukuonyesha wazi wazi .Sijui hofu yao haswa ni nini maana hata wao kwa wao mbegu ya ubaguzi inawatafuna wale wa mijini wanawaona wenzao wa shamba si watu na kuna hili kundi jingine lenye ndugu Oman ,UK na kwengineko huona kama wao wameonewa kuwa Zanzibar .
Sehemu kubwa ya Zanzibar unguja ni pori nafikiri sera zingewekwa wazi tu kana kwamba mambo ambayo watanganyika hawana haki nayo zanzibar yasemwe na kutambulika na sio kwenda kwa kificho .
 
Safi sanaa wapembaaa, tena kataeni huu muungano,

Watanganyika acheni shoboo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hawa jamaa ni ubongo lala yaani watakuwa tayari hilo pambano lisiwepo ilimradi mwakinyo asipambane !
 
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?

Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.

Wanzanzibari hawabaguliwi kabisa wakiwa huku Tanganyika hupata haki sawa na fursa sawa . Ila kule visiwani wana ubaguzi sana kiasi kwamba wanaweza kumlamba miguu mzungu hoehae au mwarabu asiye na mbele wala nyuma na kukubagua Mtanzania mwenzao .
 
Wanzanzibari hawabaguliwi kabisa wakiwa huku Tanganyika hupata haki sawa na fursa sawa . Ila kule visiwani wana ubaguzi sana kiasi kwamba wanaweza kumlamba miguu mzungu hoehae au mwarabu asiye na mbele wala nyuma na kukubagua Mtanzania mwenzao .
Shida washamba sana..dini na ujinga vimewatawala..wakuhurumia tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Boxing ilipigwa marufuku na Karume mkubwa. Nani kairudisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…