Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyo bondia MMarekani ana interest ya kucheza na wazanzibari?; wazanzibari wasikie ukiwa bara, ukifika huko ndo utajua kuwa wale ni viumbe wa dunia nyingineMfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Walioandika hiyo barua kama ni kweli hawana tofauti na mchezaji wa Morocco aliyedai ushindi ni wa kutinga robo Finali ni w Morocco na Waarabu tu wakati, Morocco imepata furusa hiyo kupitia CAF ya waafrika.
Mchezaji wa Morocco aliomba radhi. Hao "boxer" wajitafakari na kuchukua hatua.
Umeyataka mwenyewe. Ngoja nikupe vidonge. Ingawa nilitaka kweli Morocco ashinde. Hii kama ni fake news niite mjinga Tena nitakufuata nipate uelevu.Hapana ambapo mchezaji wa Morocco alizungumza nena tu kwenye maelezo yake, acheni kukaaza mambo kijinga.
Umeyataka mwenyewe. Ngoja nikupe vidonge. Ingawa nilitaka kweli Morocco ashinde. Hii kama ni fake news niite mjinga Tena nitakufuata nipate uelevu.
====
The Atlas Lions of Morocco is not for Africa , despite being on the African Continent .
From the abundance of the heart the mouth speaks ...
** In 1963 , Morocco refused to sign a commitment to support the decolonization of South Africa , Angola , and Mozambique .
** In 1984 , Morocco withdrew from the Organization of African Unity ( OAU ) , now AU, a decision which followed her acceptance of the Sahrawi Arab Democratic Republic as a member state.
** In 1987 , applied to join the European Commission ( EC ) now EU, but was rejected.
** In 2004 , when South Africa bid to host the 2006 World Cup , Morocco voted against South Africa to allow Germany win the bid.
** In November 2014 , Morocco withdrew from hosting the January 2015 edition of the African Cup of Nations ( AFCON ) , only two months to the tournament start.
They claimed that they did not want Ebola to spread to their country. But a few months later , they organized the Club World Cup.
** In 2022 , at the ongoing FIFA World Cup , after their win against Portugal , they dedicate their win to Arabs around the World
You see them as Africa's representative but they see themselves as not part of you.
====
Courtesy: microblog
Kwani kuna binadamu mwenye miguu miwili kamili asiye na enka?Lkn Mwakinyo yupo fiti? Asijeanza mambo yake... Mara begi limepotea mara mi nna enka!!😂😂😂😂
Elewa concept mzee usidandie jambo bila kuelewa!!Kwani kuna binadamu mwenye miguu miwili kamili asiye na enka?
Kwa hiyo wanaamini hiyo nafasi walipewa wazanzibar Ila Mwakinyo akaiiba?Cha ajabu wahusika ni boxers unashangaa hawajui faida ya pambano kufanyika zanzibar.
1. Kuitangaza zanzibar
2. Kuifungua zanzibar boxing
3. Kiuchumi-wageni watashuka zenj kushuhudia pambano.
4. Ongea mengine
Mwakinyo asipopigana hiyo nafasi haiendi kwa mwingine itapotea.
Mola alijalie pambano hilo wajifinze kutafuta fursa.
Cha ajabu wahusika ni boxers unashangaa hawajui faida ya pambano kufanyika zanzibar.
1. Kuitangaza zanzibar
2. Kuifungua zanzibar boxing
3. Kiuchumi-wageni watashuka zenj kushuhudia pambano.
4. Ongea mengine
Mwakinyo asipopigana hiyo nafasi haiendi kwa mwingine itapotea.
Mola alijalie pambano hilo wajifinze kutafuta fursa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazanzibar na Ngumi wapi na wapi?
Hapo wangepelekewa mashindano ya taarab labda
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?
Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Shida washamba sana..dini na ujinga vimewatawala..wakuhurumia tu.Wanzanzibari hawabaguliwi kabisa wakiwa huku Tanganyika hupata haki sawa na fursa sawa . Ila kule visiwani wana ubaguzi sana kiasi kwamba wanaweza kumlamba miguu mzungu hoehae au mwarabu asiye na mbele wala nyuma na kukubagua Mtanzania mwenzao .
Nan alikwambia dini ndo inafundisha mambo ya hivyo?Shida washamba sana..dini na ujinga vimewatawala..wakuhurumia tu.
#MaendeleoHayanaChama
Imenifanya nicheke peke yangu hii comentVizenji ni vi mtu vya hovyo sana..no wonder kila uchaguzi lazima vipate kisago cha maana ili akili zao zikae sawa.
#MaendeleoHayanaChama
Boxing ilipigwa marufuku na Karume mkubwa. Nani kairudisha?Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!
Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali
Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima
View attachment 2449693