Maboresho katika karatasi ya kupigia kura ili kuleta usawa kati ya wagombea

Kwa vile wamemzuia AMSTERDAM asitawale nchi yetu kwa mgongo wa Lisu ndio wanakuwa wahuni?

Tulipokuwa tunawaambia Amsterdam anamharibia Lisu mlikuwa mmeziba masikio?
Nasema TISS ni genge la wahuni,ndio maana Zakaria akawashtukia na kuwamwagia njugu za kutosha mpaka wakasema wao ni usalama!Shenzi,nani kawapa mamlaka ya kwenda kuteka raia?
 
Hao Tiss wana kura ngapi? Kama hao Tiss waliona Lisu hafai kwa sababu zako za kuokoteza, mbona hawakumpa Slaa urais?
Mbali na hayo!

TISS wanawaacha watu wapambane kwenye box la kura ila huyu Lisu hata angeshinda hangepewa urais ili atawale akiwa ubelgiji
 
Nasema TISS ni genge la wahuni,ndio maana Zakaria akawashtukia na kuwamwagia njugu za kutosha mpaka wakasema wao ni usalama!Shenzi,nani kawapa mamlaka ya kwenda kuteka raia?
Basi endelea kuamini hivyo ila Lisu ndio huyo kakimbilia kwa Amstwrdam
 
Kwa nini kwenye majimbo walifuata alphabets? Cha muhimu ni kwamba inahitajika TUME mpya. Vinginevyo tusisumbuane tena. Wafanye chama kimoja tu maisha yaendelee. Mengi uliyoyaona hapo yamefanywa kwa makusudi ili CCM ishinde.
 
Basi endelea kuamini hivyo ila Lisu ndio huyo kakimbilia kwa Amstwrdam
Namtakia kila la kheri na maisha marefu yenye furaha!
Ikiwezekana awe shahidi ili mbinyo wa EU na US utufikie mapema!
 
Ulichokisema ni kweli. Hii ni sawa na kuwa na karatasi ya mtihani wa taifa nje ya chumba cha mtihani lakini Bunge gani litapitisha hiyo sheria? Gwajima anaweza kuipigia kura sheria hiyo kweli ikapita? Tuombe tu vikwazo vifanye kazi. Kama vikishindwa, na watu hawataki kumwaga damu, we are stuck with CCM to the end!
Karatasi ya kupigia kura iorodheshwe kama ni nyaraka muhimu sana katika nchi, Sheria itungwe ambayo itasema kuwa atakayekutwa na karatasi hii zaidi ya copy moja nje ya kituo cha kupigia kura, adhabu kali ichukuliwe dhidi yake.
 
Mbali na hayo!

TISS wanawaacha watu wapambane kwenye box la kura ila huyu Lisu hata angeshinda hangepewa urais ili atawale akiwa ubelgiji

Ni kweli, ndio maana ameshinda lakini hawakutaka kumpa nchi.
 
Bila mawakala kuruhusiwa hiyo karatasi hata iboreshwe vipi haitasaidia wananchi kumchagua wamtakae.
Mkuu, kwa jinsi jamaa walivyokuwa na UCHU WA MADARAKA, hata wangesema utumike ule utaratibu wa kusimama nyuma ya mgombea, bado wangetumia mbinu ya KUPORA USHINDI!
 
Bado sijaelewa kama kuna mtu alikutwa na begi la karatasi za kupigia kura halafu bado anadunda wakati ni mbaya kulipo gaidi na jambazi.

Watu wanachoma moto kibaka na sio pesa aliyoiba cha ajabu kwa Mara ya kwanza kibaka anaachwa kuchomwa moto badala yake Mali aliyoiba ndiyo inayochomwa moto.

Hili zoezi la kupata viongozi limekwisha waliochukua madaraka wamechukua tusubiri watakapoamua kufanya uchaguzi siku zijazo.
 
Naona marekebisho muhimu zije na tiki kwa CCM, itasaidia kuondoa usumbufu!
 
Najiuliza kama hadi TISS waakikuwa hawamuungi mkono Lisu alitegemea atashinda vipi sasa?

Yani huungwi mkono na chombo cha usalama hata kimoja utashindaje sasa?

Lisu akikuwa debe tupu. Hajui siasa
Ajipange kwa kweli .
Mbowe amevuruga Chama na kukifanya kiwe cha kiharakati badala ya siasa.
 
Ila chenji ilibaki ndo maana
 
Hao Tiss wana kura ngapi? Kama hao Tiss waliona Lisu hafai kwa sababu zako za kuokoteza, mbona hawakumpa Slaa urais?
Hao jamaa wengi wa miaka hii ni makada wa kuokoteza wa CCM.

Zamani hao jamaa walikua ni watu wenye uwezo mkubwa sana kiakili na maarifa makubwa.
Sasa hivi wanaokota vijana wa UVCCM walioiba vyeti na majina ya watu huko mashuleni .
 
Hao Tiss wana kura ngapi? Kama hao Tiss waliona Lisu hafai kwa sababu zako za kuokoteza, mbona hawakumpa Slaa urais?
Tatizo mnapayuka tu Crimea amejaribu kueleza ukweli ila mnapapara tu. Ngoja nikueleze, TISS lazima watakuwa wamefanya kazi yao na kueleza mbinu za ushindi. Mfano tangazo la kila mtu kupiga kura alipojiandikisha, hilo lilikuwa ni bao la mkono. Usisahau vyuo na shule zilikuwa zimefungwa na hao ndio walikuwa mashabiki wa tototundu. Sasa mtoto wa chuo atoke Kagera arudi UDSM ili aweze kupiga kura? Nani atamlipia gharama za usafiri?

Pili ile ya kupiga kura 27/10 ilikuwa kuweza kuwadhibiti ACT na mbinu zao za ushindi kwa kuzuia CCM wasipige kura. Matokeo yake si kwa mara ya kwanza CCM ilipata huko Pemba. Hiyo ndiyo kazi kuu ya TISS kuhakikisha ushindi

Uchaguzi ni mbinu si kupayuka katika majukwaa na kuanza kumtusi Rais anayetawala, unajiua mwenyewe

Jitambue.
 
Hao jamaa wengi wa miaka hii ni makada wa kuokoteza wa CCM.

Zamani hao jamaa walikua ni watu wenye uwezo mkubwa sana kiakili na maarifa makubwa.
Sasa hivi wanaokota vijana wa UVCCM walioiba vyeti na majina ya watu huko mashuleni .
Urongo, hawa wanajua kabla ya miaka 4 nani atakuwa rais ajaye mhe.
 
Hao jamaa wengi wa miaka hii ni makada wa kuokoteza wa CCM.

Zamani hao jamaa walikua ni watu wenye uwezo mkubwa sana kiakili na maarifa makubwa.
Sasa hivi wanaokota vijana wa UVCCM walioiba vyeti na majina ya watu huko mashuleni .
Exactly, na kwa bahati mbaya, ndani ya hiyo idara hao incompetent ndio wenye sauti. Hii ndio maana sifa kuu ya hiyo idara kwa sasa ni kuumiza critics wote wa serikali.
 
Sio hawa wa sasa hivi wanaowaza maslahi yao.
Watamtafuta mtu wa kulinda nafasi zao.
Na wengi wanawekwa kindugu.
Kikwete alitoka Kabila dogo hata Mwinyi wakashindwa kuweka watu watakaofuata nyayo zao na kutengeneza watu wao.
 
Sio kazi ya Tiss kuiwezesha ccm kushinda, labda useme Tiss ni idara ndani ya ccm. Sasa kama Tiss ndio wanapanga mipango ya ushindi wa ccm, hiyo ccm itakuwa ni chama cha siasa tena, si itakuwa ni kikundi cha dola kulichojivika koti la chama cha siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…