Maboresho katika karatasi ya kupigia kura ili kuleta usawa kati ya wagombea

Mleta maada hujafanya hili kwa bahati mbaya. Hakika wewe ni mzalendo kwa taifa.

Nachoamini unatoka moja kati NEC ama TISS hivyo ulielewa mchezo mzima.

Tunakushuru sana kwa kuwafungua macho wadau katika vitu vidogo lakini vyenye madhara makubwa sana.
 
Sio kazi ya Tiss kuiwezesha ccm kushinda, labda useme Tiss ni idara ndani ya ccm. Sasa kama Tiss ndio wanapanga mipango ya ushindi wa ccm, hiyo ccm itakuwa ni chama cha siasa tena, si itakuwa ni kikundi cha dola kulichojivika koti la chama cha siasa?
Mihemko ya kisiasa inakuzidi tu! TISS haipo kisiasa bali kwa usalama wa taifa. Ingaliona kuwa Magufuli hafai asingeshinda.

Hivi kweli na akili yako, mtu kama Tundu Lissu ana Afya ya akili ya kuongoza taifa? Pengine afadhali mbowe kuliko Tundu Lissu.

Kiusalama unawezaje kumkabidhi nchi mwenye green card kama Nyarandu au uraia wa nchi nyingine.
 
Najiuliza kama hadi TISS waakikuwa hawamuungi mkono Lisu alitegemea atashinda vipi sasa?

Yani huungwi mkono na chombo cha usalama hata kimoja utashindaje sasa?

Lisu akikuwa debe tupu. Hajui siasa
Siyo kwamba Tundu Lissu alikuwa haungwi mkono, Bali kwa mfumo tulio nao, Jiwe alilazimisha kila aina ya chombo cha dola, kimpe "support" yeye pekee!
 
Baada ya matokeo ndo at least huwa mnazungumza uhalisia ila hiyo 2025 nayo mkipiga nyomi hata moja tu tayari kifafa tena,mnaanza mapambio na kujisahaulisha uhalisia.
 

Nchi gani boss, Tiss wapo kisiasa fullstop.
 
Mm
 
Uchambuzi huu[emoji848][emoji848]
 
Siyo kwamba Tundu Lissu alikuwa haungwi mkono, Bali kwa mfumo tulio nao, Jiwe alilazimisha kila aina ya chombo cha dola, kimpe "support" yeye pekee!
Chombo cha usalama huwezi kukilazimisha.
 
Inaonyesha ni kama karatasi ambayo imetengenezwa katika kaduka ka stationery na dada mmoja ambaye pia anauza vocha za tigo.
Kumbe kwako wadada ndio hufanya mambo ya ovyo ovyo siyo? Huu mfumo dume na ubaguzi wa kijinsia inabidi upigwe vita kwa nguvu zote.
Ushindwe na ulegee kabisa.
 
Hii ilifanyika maksudi kabisa sio bahati mbaya

Na KIBAYA zaidi huu uchaguzi umeharibiwa na tume yenyewe Mkurugenzi wa Uchaguzi alijivika joho la uwakili wa CHAMA TAWALA na ALIANZA kutoa maelekezo ya kwa waratibu wa mikoa juu ya kuhakikisha CCM inashinda kwa USHINDI mkubwa na kwa mara ya Kwanza DSO'S ndio walikua wanauratibu huu uchaguzi uliopita na wanafanya yote hayo si kwa sababu wao Ni wazalendo wa nchi Bali wakereketwa wa CCM na wafaidika namba moja wa mfumo wenyewe! Wanajipendekeza kutetea vitumbua vyao

Kundi la pili wakurugenzi wote nchini Ni wanafiki na njia ya mnafiki Ni Moto wa jehannamu na laana za muumba ziwe juu yao! Maulana atawalipa sawa na matendo yao! Mtu km sintoo wa hai Ni mtoto wa askofu mola amrehemu babaake ALIKUA muungwana Sana yule mzee wa ITAJA huko SINGIDA na alikua mwema Sana kijana yule hana hata hofu ya mungu halafu JUMAPILI anaingia kanisani kuabudu na kusifu it's better wangekua watu wa kawaida km sisi kazi ya kutoa haki Ni majukumu ya mola muumba ila sisi wanadamu tunafanya kwa niaba na KIBAYA zaidi tunafanya kwa kuzifurahisha nafsi zetu tunasahau Kama kesho. Kuna hesabu ya matendo yetu niishie hapa

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Ki ukweli waliamua kwa maksudi kuvuruga zoezi zima. Wengi hatukuwaza kama wangefikia kuivuruga hadi karatasi ya kura yenyewe.

Uchaguzi huu wamejiwekea viwango ambavyo itakuwa ngumu kuvifikia!

 
Kama ulivyozema, ni jambo baya tunapotambua kuwa vyombo husika havijali hisia, matamanio na mitazamo ya wananchi kiasi cha kufikia kuvuruga waziwazi zoezi zima muhimu kama la uchaguzi.

Kwa kilichotokea, hatuwezi kusingizia eti 'hakuna nchi iliyowahi kufanya 'perfect election', kama Kabudi alivyodai jana. Kama wengi wanavyosema, lile zoezi halistahili hata kuitwa uchaguzi.

 
Uchaguzi gani ambao matokeo yote yanatoka TISS? Matokeo yanatoka kwa Mahera na kwenda majimboni. Na kutoka majimboni kwenda kwenye vituo? Matokeo yanatakiwa yatoke chini na kupanda juu. Huo ndio huwa uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…