Open kitchen,unganisha dining,sebule na jiko.kama uwezo upo lakini,usiweke huo ukuta uliotenganisha jiko na dining.Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Nimekuelewa mkuu, bt siko kwenye presha kubwa ya kujenga kwa haraka so nitamudu tu ndgu.Mkuu umesema unataka uanze kujenga mdogo mdogo, hiyo ramani ukianza kujenga hadi nyumba ikamilike kias ANGALAU mtu unaweza kuingia kuishi itakuchukua muda mrefu sana, otherwise kama umesema "mdogomdogo" kwa maana yakutotaka kujimwambafai... But kiukweli hiyo nyumba ni kubwa sana na gharama sana... Kama umejiandaa kifedha kila lakheri ila kama tia maji tia maji tafuta raman nyingine simple and clear anza ujenzi...
Nakushauri achana na hii ramani tafuta ramani simple ,usije kujutia ukasema hatujakushauri ,majuto ni mjukuu ,jitahidi angalau isizidi sqm 200 hii bado ni kubwa na utaifurahiaNimekuelewa mkuu, bt siko kwenye presha kubwa ya kujenga kwa haraka so nitamudu tu ndgu.
Kiufupi ukiwa unajenga ukimaliza kimoja unatamani uanze kingine wala sio suala la presha ya kujenga,ukianza ujenzi utanielewa nachomanisha ,punguza space ya vyumba na vyoo nyumba isiwe kubwa sana itakuchosha mwishoe utajutia utaona ujenz mgumuNimekuelewa mkuu, bt siko kwenye presha kubwa ya kujenga kwa haraka so nitamudu tu ndgu.
Mkuu, msikilize kijanamimi . Nilijenga nyumba kubwa kwa bahati mbaya na sababu ya ujana. Mwisho wa siku kwenye hilo jumba utabaki wewe na mkeo. Pamoja na maoni yetu, usisahau kuchanganya na za kwakoNimekuelewa mkuu, bt siko kwenye presha kubwa ya kujenga kwa haraka so nitamudu tu ndgu.
Naona hakuna aliekujibu kuhusu hivyo vimistari kuingia master ni ngazi. Huenda ni ghorofa ya kishkaji ambapo master room ipo floor ya kwanza. I stand to be corrected.Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Ooooh sawa mkuu, nashukuru.Naona hakuna aliekujibu kuhusu hivyo vimistari kuingia master ni ngazi. Huenda ni ghorofa ya kishkaji ambapo master room ipo floor ya kwanza. I stand to be corrected.
Inaezekana ni nyumba yake ya pili au ya tatu, kwa hyo haitaji harakaNakushauri achana na hii ramani tafuta ramani simple ,usije kujutia ukasema hatujakushauri ,majuto ni mjukuu ,jitahidi angalau isizidi sqm 200 hii bado ni kubwa na utaifurahia
Au pengine ni nyumba kwa ajili ya kuiuza. Maana siku hizi kuna watu hawataki mambo ya kujenga nyumba kwa sababu ya presha za material na mafundi. Hivyo, wanataka nyumba ready made!Inaezekana ni nyumba yake ya pili au ya tatu, kwa hyo haitaji haraka
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Asante kwa ushauri mkuu. Sijapuuza utaalamu, kuweka humu ni hatua ya kupanua mawazo Kwanza kabla kuendelea na hatua za kitaalamu.Lakini mkuu inakuaje una uwezo wa kujenga nyumba ya karibu 100mil lakini unashindwa kutafuta architect au injinia akusaidie baadhi ya vitu mpaka uje utuulize mambo ya mistari humu jukwaani?
Tujitahidi kutumia wataalamu kuna sababu kwanini wanatumia miaka 4 mpaka 5 chuoni kusomea mambo ya ujenzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli sebule hapo kwanza ventilation mana sioni dirisha. Pili u atakiwa kuweka french doors maana ukifunga ac alafu kupo wazi kwenye upande wa dinning na upande wa foyer itakuwa kazi bure tuu. So pande zote mbili weka french doors.
Hiyo public toilet mbona kama ipo chobingo sana...sii mtu anaweza ingia kwenye vyumba vya watoto mzeya.
Mkuu kama hiyo master iko floor ya kwanza. Je, hapo chini yake kuna nini? Am desperate to know.Naona hakuna aliekujibu kuhusu hivyo vimistari kuingia master ni ngazi. Huenda ni ghorofa ya kishkaji ambapo master room ipo floor ya kwanza. I stand to be corrected.
Unajua Mfuko wake?Nakushauri achana na hii ramani tafuta ramani simple ,usije kujutia ukasema hatujakushauri ,majuto ni mjukuu ,jitahidi angalau isizidi sqm 200 hii bado ni kubwa na utaifurahia