Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwani wako wapi, mkuu?I wish CHADEMA wangekuepo
Hapana ya KimaraChadema hii ya Ufipa st?
Kimara kwa Kiti moto na mbege ni hataree!Hapana ya Kimara
DaaahHii thread ni fupi isichanganywe
Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania.
Kama itatokea TISS wakaungana kulinda maslahi ya WABIA hawa wapya na ikatokea Baadhi yetu tukapinga ina maana TISS watakua na uwezo wa "kutumaliza/kutunyamazisha" bila kuchukuliwa hatua yoyote Ile.
Hizi ni events mbili ambazo hazijaja Kwa bahati mbaya hata kidogo. Na Kwa Sasa hakuna mbunge yoyote Bungeni atakayeweza kupinga Chochote. I wish CHADEMA wangekuepo
Chadema nao wanalamba asali tuHii thread ni fupi isichanganywe
Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania.
Kama itatokea TISS wakaungana kulinda maslahi ya WABIA hawa wapya na ikatokea Baadhi yetu tukapinga ina maana TISS watakua na uwezo wa "kutumaliza/kutunyamazisha" bila kuchukuliwa hatua yoyote Ile.
Hizi ni events mbili ambazo hazijaja Kwa bahati mbaya hata kidogo. Na Kwa Sasa hakuna mbunge yoyote Bungeni atakayeweza kupinga Chochote. I wish CHADEMA wangekuepo
Eti hawa walamba asali!! Hahahahaha!!!Chadema hii ya Ufipa st?
HahahahahahKimara kwa Kiti moto na mbege ni hataree!
DuhChadema nao wanalamba asali tu
Hii thread ni fupi isichanganywe
Iko hivi, KINGA ya Wana TISS kwenye Ile Document iliyopelekwa Bungeni (kikao Cha Wana CCM) pamoja na hii issue ya Bandari butakia ndio mwisho wa Tanzania.
Kama itatokea TISS wakaungana kulinda maslahi ya WABIA hawa wapya na ikatokea Baadhi yetu tukapinga ina maana TISS watakua na uwezo wa "kutumaliza/kutunyamazisha" bila kuchukuliwa hatua yoyote Ile.
Hizi ni events mbili ambazo hazijaja Kwa bahati mbaya hata kidogo. Na Kwa Sasa hakuna mbunge yoyote Bungeni atakayeweza kupinga Chochote. I wish CHADEMA wangekuepo
Ana maanisha wangekuwepo bungeniKwani wako wapi, mkuu?