Inawezekana hujawahi kufanya biashara yoyote.Pia tujenge kwa kujiangalia Sisi kwanza na mahitaji yetu na sio kumfurahisha jirani
Jirani awe ni ziada
Tujenge miundombinu kwa ajili yetu, leo Zambia wanatua JNIA baada ya kipindi kirefu kupita, tulienda kuwaomba waje? Hapana Bali kuna vitu tukiweka sawa mteja mwenyewe anakuja bila shida
Watu wana tumia mabilioni kusaka wateja, wewe unasema watakuja wenyewe?
Huko kuboresha unako kusema ni sehemu ya kuvuta hao wateja.