Inawezekana hujawahi kufanya biashara yoyote.Pia tujenge kwa kujiangalia Sisi kwanza na mahitaji yetu na sio kumfurahisha jirani
Jirani awe ni ziada
Tujenge miundombinu kwa ajili yetu, leo Zambia wanatua JNIA baada ya kipindi kirefu kupita, tulienda kuwaomba waje? Hapana Bali kuna vitu tukiweka sawa mteja mwenyewe anakuja bila shida
Tunatapatapa tu.Kama Zambia anaungana na Mozambique reli hii italipa? Zambia ina kihere here.
Waapi? Zambia anapeleka mizigo South Africa na mingine itaenda Lobito na mingine itaenda Mozambique.Mizigo inayobebwa na malori!
Reli za Lobito corridor kwenda Angola, Nacala corridor kwenda Mozambique na reli ya kwenda South Africa zinafanya TAZARA isiwe na future.Pita njia hiyo ujionee mwenyewe.
Sasa kwa nini reli inashindwa kujiendesha yenyewe, imejengwa na Wachina na miaka kibao baadaye mnaomba msaada ikarabatiwe na Wachina?almost 70% ya cargo inayopita Bandari ya DSM inaenda nchi zilizopo njia ya Tazara ( Zambia na Congo)
Mchina na shaba ya katanga na zambia,anashindana na lobito-lubumbashi(kama sijachanganya) ya beberu USATAZARA inaboreshwa mizigo yenyewe iko wapi?
Kwa nini zinapitia barabarani na si kwa reli in the first place?Copper kutoka Zambia na Congo vinatakiwa kupita TAZARA badala ya kuharibu barabara. Mafuta kwenda DRC, Zambia na Malawi yanatakiwa kupita TAZARA. Mizigo ni mingi sana, bado watu.
TAZARA ishashindwa.Mchina na shaba ya katanga na zambia,anashindana na lobito-lubumbashi(kama sijachanganya) ya beberu USA
Ni proposal ya mchina mwenyeweTAZARA ishashindwa.
Kuna Lobito corridor, halafu kuna reli nyingine inajengwa kwenda bandari ya Nacala Mozambique. Na mizigo mingine inaenda South Africa.
Subiri wajenge reli halafu tuone kama ina future.
Reli haina ufanisi na kuna wizi. Mfano mafuta huwa yanaibwa sana. Nadhani maboresho yao yataangalia na huu upande.Kwa nini zinapitia barabarani na si kwa reli in the first place?
It's symbolism, wamekosa bandari wanaona wajishikize na reli.Ni proposal ya mchina mwenyewe
As global powers vie for control over critical mineral trade routes, China plans to spend US$1 billion to refurbish a key railway line connecting Zambia's copper belt region with the Tanzanian port of Dar es Salaam under its Belt and Road Initiative.9 Feb 2024
View attachment 3086117
China plans to spend US$1 billion to revamp Tanzania-Zambia railway ...
Wazambia wangekuwa na interest na TAZARA wasingekuwa na mipango ya kupitisha mizigo Nacala Mozambique.Reli haina ufanisi na kuna wizi. Mfano mafuta huwa yanaibwa sana. Nadhani maboresho yao yataangalia na huu upande.
Wachina wanabeba sana shaba zambia na drcIt's symbolism, wamekosa bandari wanaona wajishikize na reli.
Yani mtu anataka kukupiga kulia, anakuanzia kushoto.
21century,we shouldn't be begging only leader who are crueless.Beggars can't be choosers
Utalii wenyewe sifa tuu lakini sio Ile konkiInawezekana hujawahi kufanya biashara yoyote.
Watu wana tumia mabilioni kusaka wateja, wewe unasema watakuja wenyewe?
Huko kuboresha unako kusema ni sehemu ya kuvuta hao wateja.
Kusini kuna chuma, mkaa wa mawe. Hivi vikiendelezwa vitatakiwa kusambazwa.......Waapi? Zambia anapeleka mizigo South Africa na mingine itaenda Lobito na mingine itaenda Mozambique.
TAZARA haina future.
Zambia imetupiga ngumi ya chembe cha moyo,, ili itugalagaze, hivyo ni bora bidii yetu tukaiweka kwenye reli ya sgr tuingie nchi za maziwa na drc.Wazambia wangekuwa na interest na TAZARA wasingekuwa na mipango ya kupitisha mizigo Nacala Mozambique.
Tena wakiwa beggars walafi na wabinasi inakuwa majanga matupu.Beggars can't be choosers
TAZARA inaboreshwa mizigo yenyewe iko wapi?